Alikufa pale kwenye hospital ya jeshi central Rabat na aliishi kitongoji cha kusini mwa Rabat.Na alizikwa kwenye makaburi ya wakrsto pale pale Rabat.Alikua na huzuni sana kabla ya kifo chake sababu marafiki zake woote walimgeuka.""Wakati amezidiwa jumapili ile usiku,aliwaambia wanaomuuguza kua wamrudishe kinshasa akawaombe msamaha wazaire maana wameteseka sana kwa sababu yake.Wakamjibu haiwezekani kwa hali yako kusafiri,na usiku ule alipokuja mfalme Hassan wa morroco kumjulia hali akamwambia nitafutie padri nitubu maana sina mda wa kuishi tena..Mfalme Hassan akamjibu sisi ni waislamu hatuna padri labda tukuombee dua tu afu familia yako watakuombea sala za kikrsto.Bas wakamfanyia dua na wakamwacha yeye na familia yake wakisali.Usiku ule ule wa September 7 1997 Mzee mobutu akafariki dunia.