Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #181
I got itRest easy bro!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I got itRest easy bro!
We apriciateUncle alikua mutu makini. Pole yenu ndugu n jamaa
Katika huu uzi mwanzo kabisa nilisema kua my uncle alikua na rafiki wa kweli mmoja tu"""""Mzee Mobutu"""alimchukulia kama kijana wakeBi.Anastazia Buranda huyu aliwai kuolewa na babu yangu alikua akihudumu kwenye kasri la Rais wa Zaire,alikuja kuishi Tanzania baada ya serikali ya Mobutu kuangushwa na Laurent Kabila.
nilimsikia Bi.Anastazia akimuhadithia babu yangu kifo cha Juvenal kilimliza Mobutu kama mtoto kiasi cha Mobutu kushindwa kula kabisa kutwa nzima.
Mobutu alimpenda sana Juvenal tena kupita kiasi.
anguko la Mobutu lilianzia kutunguliwa kwa ndege ya Rais wa Rwanda kipindi icho bwana Juvenal Abriymana.
Hakua framed kweli na kuuawa???Nimekumbuka rafiki yangu Silas Blasio,tulivyofung shule hakurudi aliendankwao Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi.Sijawahi kumsikia Tena.Alikuwa mtu wa Ngara.
Sijawahi msikia Tena.Alikuwa mlokokole kutoka Ngara.Huwa nahisi aliuwawa.Hakua framed kweli na kuuawa???
Yawezekana mkuuSijawahi msikia Tena.Alikuwa mlokokole kutoka Ngara.Huwa nahisi aliuwawa.
mbona mambo kinyume africa inamsuport taifa lake linambeza duhNa aumwe sana tu lau Uganda ipumue
Wanaosapoti Wana shida kichwa I.Wanajificha kwenye kuuchukia ushoga wakati Hata yeye hawezi kuzuia.Ni kama Mugabe,alipopoteza umaarufu akaanza kupora mashamba ya Wazungu.mbona mambo kinyume africa inamsuport taifa lake linambeza duh
Hawa huwa kweli walokole? Kama ni jinsia mbili, wakiingia kwenye external service ya Radio Tanzania, ujue hapo washamaliza yao. Wakatili sijapata kuonaSijawahi msikia Tena.Alikuwa mlokokole kutoka Ngara.Huwa nahisi aliuwawa.
Habyarimana alitumia sana Ufaransa na ukaribu wake na kanisa katoliki kutawala kwa mrengo wake wa sijui kushoto au kulia. Unfortunately muda haukumpa nafasi ya kufa kabla ya kuona yale aliyoyalinda na kuyajenga yanasambaratikaHabyarimana hakumuua Gregoire,,,ila kuna watu jeshini walikiuka order ya kumuweka raisi in house arrest na wakampiga risasi wakihofia ushawishi wake jeshini......
Huu ni ukweli. Kufa ni process ya lazima. Hakuna anayeishi mileleHata PK na M7 wakifa leo they have good number of years. Wakifa kuna watakaosema eti wamekufa sababu ya matendo yao while ni muda tu umefika na wameishi miaka mingi.
Kila mtu ana njia yake ya kufa. Kifo ni kifo tu. Kuna mema na mabaya wametenda ila kuyaakisi kwa vifo vyao ni kukosa hoja!
Je, wanaokufa kwa ajali wanatoka kanisani au michezoni hawastahili kufa?
Tuache fikra finyu!
Kwanini aliruhusu Franche special forces to train Intarahamwe? Intarahamwe iliundwa kufanya kazi gani?My uncle was good frnd as uncle.....Mambo ya siasa aliyatenga kabisa na familia...
You may be surprised ukakuta anasifia mwanzo mwisho...au akatoa bomu la nuclear. Nilichopenda, ni kuwa ameacha maandishi. Hayo maandishi yatakuwa lulu kubwa mbele ya safari kuhusu uongozi wa nchi yetuTuombe uhai 2051 Sheria za kimataifa zinaruhusu behind the scene
Secretary wa Baba wa Taifa wa maisha yote yule Bibi wa Kiingereza nae aliandika kitabu kuhusu Baba wa Taifa ile nyuma ya pazia yenyewe laki ni kaomba kitolewe 30 years baada ya kufa kwake
Unajua kuna vitu watu hawakujua,,,,vikosi vya ufaransa vilikua vinatrain wanajeshi wa kawaida,,na wao wanajeshi hasa wale wanaojiita wahutu wenye msimamo mkali wakawa wanatrain wanamgambo walioitwa intarehamwe kama vijana wa mgambo wa chama tawala..Kumbuka Juve hakua na kauli kwa wanajeshi waliomuweka madarakani.Na alikua amezungukwa na washauri wanafiki,wabovu kimaadili,wabaguzi na wenye uchu wa madaraka...Rafiki pekee aliyekua nae wa kumwamini kisiasa ni Mzee Mobutu.......Kwanini aliruhusu Franche special forces to train Intarahamwe? Intarahamwe iliundwa kufanya kazi gani?
Intarehamwe iliundwa ili kuua jamii za watusi na wahutu wenye mrengo tofauti na watawala...Rais Juve alipoukataa huo mpango,ikabidi yeye aondoshwe kwanza ili mpango huo uendelee.....Lakini kuna mambo mengi sana kuhusu intarehamwe na ukweli unafichwa sijui kwanini..Kwanini aliruhusu Franche special forces to train Intarahamwe? Intarahamwe iliundwa kufanya kazi gani?
Very sad. Vita ile ingeweza kuepukwaJuvenail Alikua mrengo wa kati ila alikua na washauri wabaguzi sana kikabila na ndio waliompoteza @ Tangawizi
Yeah ingeweza ila kagame nae alikua anataka madarakaVery sad. Vita ile ingeweza kuepukwa
Eti unasema Mobutu Kuku Ngbengo wa Zabanga alikuwa rafikiKatika huu uzi mwanzo kabisa nilisema kua my uncle alikua na rafiki wa kweli mmoja tu"""""Mzee Mobutu"""alimchukulia kama kijana wake