Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Bi.Anastazia Buranda huyu aliwai kuolewa na babu yangu alikua akihudumu kwenye kasri la Rais wa Zaire,alikuja kuishi Tanzania baada ya serikali ya Mobutu kuangushwa na Laurent Kabila.


nilimsikia Bi.Anastazia akimuhadithia babu yangu kifo cha Juvenal kilimliza Mobutu kama mtoto kiasi cha Mobutu kushindwa kula kabisa kutwa nzima.

Mobutu alimpenda sana Juvenal tena kupita kiasi.

anguko la Mobutu lilianzia kutunguliwa kwa ndege ya Rais wa Rwanda kipindi icho bwana Juvenal Abriymana.
 
Maana yangu ni hii ,niionavyo rwanda na Maendeleo iliyonayo kwa Sasa huwezi kumtenganisha nayo huyu Nkole/Kagame.

Na Kwa sasa ni kama vile kuna usawa kati ya Hizo jamii mbili apa Rwanda (Tusi na Hawa majority walioko Burundi/Wahutu), ubaguzi sio mkubwa kama vile ulikuwa kipindi hicho cha Mjomba Wako.
Ngoja aondoke Rwanda ilipuke
 
Sure, Special forces Wengi huuza Game.

Hata hapo Nyumbani , Kifo cha Jemadari Magu kiliacha maswali mengi, na Pengine wenye nayo Majibu sahihi ni hivyo vikosi Maalum
Babu nasikia Kuna clip kabisa walichomfanyia magu Hadi anawalalamikia kuwa hata wewe unanifanyia hivi??? Zinaeza toka Kabla ya uchaguzi Sukuma gang wamezihifadhi.
 
Nimekumbuka rafiki yangu Silas Blasio,tulivyofung shule hakurudi aliendankwao Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi.Sijawahi kumsikia Tena.Alikuwa mtu wa Ngara.
 
Back
Top Bottom