Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Alitungua ndege alikuwa ni second lieutenant Jack nzinza ( kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali)ndiye alirusha kombola la 16 IGLA RUSSIAN MADE SURFACE TO AIR MISSILE.
Alikuwepo na James Kaberebe (kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali) alikuwa kama msikamizi wa tukio, pamoja alikuwepo na Erick hakizimana. Walikuwepo eneo la Masaka hill kigali usiku saa 2.
Waliondoka Mulindi ( higher commands battalion) kwa kutumia truck mpaka kigali, kisha wakafanya tukio.
Walivyorudi mulindi baada ya kuangusha ndege.

James kaberebe akaimba wimbo huku Askari wa RPA wakirudia. Aliimba kwa kiswahili
"

"Habriymana akifa mimi siwezi kulia nitamtupa kagera, awe chakula cha mamba"​

Jaq nzinza na kengeza lake aliwezaje kuwa na target kali na makini vile
😁😁😁😁😆
 
Tusiyoyajua kuhusu Baba wa Taifa letu

Wapumbavu wenzangu wanaamini alikuwa ni wakala wa CIA sambamba na Keneth Kaunda na walitumika sana kupenyeza watu kule Russia wakijifanya wanafunzi wa Ujamaa lakini kumbe ni majasusi na wakatumika kusaidia kuisambaratisha

pia alitumika ku decolonize Southern of Africa ili Euro izidi kudhoofika …ila haya hayana ushahidi


wanasema alikuwa double Agent ndio sababu alitumwa kuizua Znz isitumbukie kwny Ukomunist, akatumwa kuinyoosha Ureno Kule Msumbiji na Angola hadi wakanyoosha mikono wakakimbia akaingia US kwny migodi na visima vya mafuta


aliigiza haitambui Israel ila Trainers wake wote wamekomazwa Isarel …story za kijinga jinga uswekeni ni nyingi …tuombe uhai tufike na tuyasome ya huyo bibi
Mengine yote naweza kua nina mawazo kinzani ila ili la Israel nakuunga mkono ni kweli kabisa...TPDF commando's most of them wamepata train,s kama sio Israel basi ni Cuba.
 
kuna sehemu yoyote nimeandika kumkumbuka mjomba wako ni dhambu?
Hujanielewa mkuu"""Uliposema niendelee kujificha Kagame asijue nilipo"""""nikakuuliza nijifiche kwanini kwani kumkumbuka uncle kwake yeye Kagame ni dhambi au uhaini??????? Nikiwa na maana au yeye kagame hataki watu wamkumbuke JUVENAL HABYARIMANA?????
 
Bro unaongea kwa machungu hadi imenigusa aseee, mi pia mkuu imenigusa apumzike salama anko
Usipoipenda familia yako au ukoo wako either iwe kwa mababu zako upande wa mama au upande wa baba basi wewe hujui maana halisi ya familia......Thanks mkuu
 
W
Mbona ni kama he was starved in house arrest na sio kupigwa risasi
Yawezekana ila mwili wake ulikutwa na majeraha ya risasi kwa mujibu ya wasimuliaji na yawezekana wale makanali waliokua wanailinda ile nyumba hawakumpa chakula kwa siku nyingi....Unajua siasa za visasi lolote linaweza kufanyika......Na JUVENAL hakuweza kukemea hilo sababu yeye mwenyewe aliwekwa madarakani na hao hao makanali wa kijeshi na walikua wanampangia cha kufanya
 
M
Hata PK na M7 wakifa leo they have good number of years. Wakifa kuna watakaosema eti wamekufa sababu ya matendo yao while ni muda tu umefika na wameishi miaka mingi.

Kila mtu ana njia yake ya kufa. Kifo ni kifo tu. Kuna mema na mabaya wametenda ila kuyaakisi kwa vifo vyao ni kukosa hoja!

Je, wanaokufa kwa ajali wanatoka kanisani au michezoni hawastahili kufa?

Tuache fikra finyu!
Mkuu ebu fafanua vizuri
 
Je hii maada inauhusiano wowote na Kagame Kufanya mabadiliko makubwa jeshini apa Rwanda
😂 😂 😂 😂 😂
Ni chess game. As a human being, you cannot have 100% sucess in protecting your interests, if you do not live well with those around you.

Na maisha yetu chini ya jua yana siku zake....no pretence or offence, lazima tujifunze kuishi na wengine
 
Namaanisha visasi Vitaendelea
Yeah upo sahii mkuu,,,,wanyarwanda wanapenda sana visasi.Kuna watu wanamuwinda kagame usiku kucha wamuue ili kulipiza visasi vya miaka ishirini nyuma na yeye anajua hilo....Afu na yeye kuna watu anawawinda kwa visasi vya miaka ya 1952 na 1972...!!!
 
Back
Top Bottom