Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #201
Unajua aliyemuua Lumumba ni Tshombe?????? Mobutu alikua mtekelezaji tu,au hujui siasa za Congo miaka ya 1960,s?????? Fuatilia vizuri siasa za Congo mkuuEti unasema Mobutu Kuku Ngbengo wa Zabanga alikuwa rafiki
Huyu Mobutu aliyeuwa kijana wetu Lumumba?
Kwa hiyo unahitimisha wote walikuwa washenzi, na hakuna hasara wote wakifyekelewa mbali
Bado kungekua na vurugu kama mashariki mwa Congo mkuuTanzania tulifanya kosa kubwa saana kuacha kuzichukua Rwanda na Burundi after independence ili kuirudhisha mipaka yetu ya awali (Germany east Africa) ilyokuwa no tanganyika rwanda na burundi ambapo baada ya vita vya kwanza vya dunia Tanganyika alipewa Muingereza na Rwanda na burundi akapewa mbelgiji naiman hizo nchi mbili zisingepitia mambo zilizoyapitia na hii leo zingekuwa ni sehemu ya Tanzania.
Wale shida zao ni lack of civilization na power struggle kwa kuwa ndani ya Tanzania hayo matatzo mawili yote yangekuwa solved at once kwa kuwafanya wawe civilized kwa kuachana na mambo ya ukabila na kujichanganya na zaid ya makabila 120 kama tulivyo sisi Tz kwa sasa pili kuhusu power struggle wangetulia sababu utawala ungekuwa hauna misingi ya kikabila so makabila yao yangebakia kuwa kama utambulisho tu na wachache ambao wangeleta makeke tungeshughurika nao vikali na kuhakikishia wangetulia na hizo vurugu wala zisingekuepo.Bado kungekua na vurugu kama mashariki mwa Congo mkuu
Alikufa pale kwenye hospital ya jeshi central Rabat na aliishi kitongoji cha kusini mwa Rabat.Na alizikwa kwenye makaburi ya wakrsto pale pale Rabat.Alikua na huzuni sana kabla ya kifo chake sababu marafiki zake woote walimgeuka.""Wakati amezidiwa jumapili ile usiku,aliwaambia wanaomuuguza kua wamrudishe kinshasa akawaombe msamaha wazaire maana wameteseka sana kwa sababu yake.Wakamjibu haiwezekani kwa hali yako kusafiri,na usiku ule alipokuja mfalme Hassan wa morroco kumjulia hali akamwambia nitafutie padri nitubu maana sina mda wa kuishi tena..Mfalme Hassan akamjibu sisi ni waislamu hatuna padri labda tukuombee dua tu afu familia yako watakuombea sala za kikrsto.Bas wakamfanyia dua na wakamwacha yeye na familia yake wakisali.Usiku ule ule wa September 7 1997 Mzee mobutu akafariki dunia.Ubaguzi wa kikabila au kidini ni hatari kwa kiongozi.
Asante nimesoma chapisho lako.
Umemtaja Mabutu Seseseko, ni mtu pia sijui mengi kuhusu yeye, japo nasikia pamoja na yote naye alikufa akazikwa na wana familia tu.
Pole mjomba.
Mkuu ebu fafanua kidogo kama nakuelewa hvWale shida zao ni lack of civilization na power struggle kwa kuwa ndani ya Tanzania hayo matatzo mawili yote yangekuwa solved at once kwa kuwafanya wawe civilized kwa kuachana na mambo ya ukabila na kujichanganya na zaid ya makabila 120 kama tulivyo sisi Tz kwa sasa pili kuhusu power struggle wangetulia sababu utawala ungekuwa hauna misingi ya kikabila so makabila yao yangebakia kuwa kama utambulisho tu na wachache ambao wangeleta makeke tungeshughurika nao vikali na kuhakikishia wangetulia na hizo vurugu wala zisingekuepo.
Kuhusu haya machafuko ya drc hiyo ni michezo tu ya western powers na inapata nguvu sababa DRC is a failed state ambayo haina uwezo wa kupigana vita.
Kama rwanda na burundi zingechukuliwa na Tanzania leo zingekuwa hazina tofauti na kigomaTanzania tulifanya kosa kubwa saana kuacha kuzichukua Rwanda na Burundi after independence ili kuirudhisha mipaka yetu ya awali (Germany east Africa) ilyokuwa no tanganyika rwanda na burundi ambapo baada ya vita vya kwanza vya dunia Tanganyika alipewa Muingereza na Rwanda na burundi akapewa mbelgiji naiman hizo nchi mbili zisingepitia mambo zilizoyapitia na hii leo zingekuwa ni sehemu ya Tanzania.
Wangetusumbu sana.Tanzania tulifanya kosa kubwa saana kuacha kuzichukua Rwanda na Burundi after independence ili kuirudhisha mipaka yetu ya awali (Germany east Africa) ilyokuwa no tanganyika rwanda na burundi ambapo baada ya vita vya kwanza vya dunia Tanganyika alipewa Muingereza na Rwanda na burundi akapewa mbelgiji naiman hizo nchi mbili zisingepitia mambo zilizoyapitia na hii leo zingekuwa ni sehemu ya Tanzania.
Yaani tungekua na watu 24m zaidi!?..acha ujinga babu!..wachache wabanane huko kwenye vikorido vyao wanaita nchiWale shida zao ni lack of civilization na power struggle kwa kuwa ndani ya Tanzania hayo matatzo mawili yote yangekuwa solved at once kwa kuwafanya wawe civilized kwa kuachana na mambo ya ukabila na kujichanganya na zaid ya makabila 120 kama tulivyo sisi Tz kwa sasa pili kuhusu power struggle wangetulia sababu utawala ungekuwa hauna misingi ya kikabila so makabila yao yangebakia kuwa kama utambulisho tu na wachache ambao wangeleta makeke tungeshughurika nao vikali na kuhakikishia wangetulia na hizo vurugu wala zisingekuepo.
Kuhusu haya machafuko ya drc hiyo ni michezo tu ya western powers na inapata nguvu sababa DRC is a failed state ambayo haina uwezo wa kupigana vita.
Mbona TwagiraMungu alikuwa muhutu ?Bro ni Rwanda hii unaiongelea au Rwanda Nyingine. Top officers wote jeshini na idara nyeti ni wa kabila moja
Twagiramungu na Bizimungu wahutu viongozi kwenye Serikali ya RPF walikuwa viongozi jina tuMbona TwagiraMungu alikuwa muhutu ?
Dunia imejaa uovu kupingana nao ni shughuri pevu,magu alikuwa na ubaya Gani ?ujinga kama ule wa Arusha,utitiri wa byuro Kila Kona kuhamisha Dola,mwenye akili lzm achukue hatua kama za magu,kucheka na wahuni mwisho wake aibu.Mwacheni mwamba alale.Huyo acha aende tu
Alikua mjomba poa sana na mtu wa familia....Binadamu hakosi mapungufu hasa ukiwa kiongozi wa watu wengi au nchi lakini alikua mtu poa sana enzi hizo nikiwa dogo janja........
tabu ipi Wazaire waliipata kutokana na mzee MOBUTU...?Alikufa pale kwenye hospital ya jeshi central Rabat na aliishi kitongoji cha kusini mwa Rabat.Na alizikwa kwenye makaburi ya wakrsto pale pale Rabat.Alikua na huzuni sana kabla ya kifo chake sababu marafiki zake woote walimgeuka.""Wakati amezidiwa jumapili ile usiku,aliwaambia wanaomuuguza kua wamrudishe kinshasa akawaombe msamaha wazaire maana wameteseka sana kwa sababu yake.Wakamjibu haiwezekani kwa hali yako kusafiri,na usiku ule alipokuja mfalme Hassan wa morroco kumjulia hali akamwambia nitafutie padri nitubu maana sina mda wa kuishi tena..Mfalme Hassan akamjibu sisi ni waislamu hatuna padri labda tukuombee dua tu afu familia yako watakuombea sala za kikrsto.Bas wakamfanyia dua na wakamwacha yeye na familia yake wakisali.Usiku ule ule wa September 7 1997 Mzee mobutu akafariki dunia.
Punguza upotoshaji. Itakusaidia Nini? Genocide Rwanda haijaanza 1994. Kasome Historia ya Rwanda. Watu Kama nyie mnaboa Sana.. Hujui kitu ila unajifanya kujua.Anahusika ndio master planer wa genocide
Una ushahidi kagame alitungua. Tuache uongo. Kagame tupo Uganda anatunguaje ndege ipo anga ya Kigali?Ninakumbuka nilikuwa darasa la kwanza,siku hiyo tulikwenda shule tukarudishwa.Ndege ya marais imetunguliwa walikuwa wanatoka Arusha kwenye mkutano wa mapatano.Kweli Kagame ni hatari
Ni kagame?. Tatizo mnapika stori halafu mnalazimisha iwe kweli. Katafute chanzo Cha kifo Cha Rias wa Egypt Anwar Sadat halafu urudi hapa.Hivi kwa hilo kwa nini Burundi haikumshitaki Kagame katika mahakama ya kiuhalifu the hague kwa Kumua Rais wa watu wa Burundi ambae hakuwa na hatia ?