Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi! Hivi kuna mkono wa mataifa ya magharibi Katika mauaji yake au ni vikundi vya waasi vya ndani ya nchi tu
Kutaka kujua hilo jiulize kwa nini marekani aliwazuia UN wasichunguze na kutoa ripoti ya kisanduku cheusi kilichokuwepo kwenye ndege iliyodunguliwa
 
Huo ULIKUA mpango kazi !kwani wao alikua hawajui ndege itatunguliwa!!?

Rip mtikila mchungaji!
 
RIP Juve mwanangu. You were a great man. Hata hivyo, kama ulionewa kama ulivyomuonea Gregoire Kayibanda, time will tell. Uzuri ni kwamba hata huyo aliyeamuru ndege itunguliwe naye atakufa tena saa nyingine kifo kibaya kuliko hicho. Mungu anamuona
 
Ilibaki kidogo Burundi iingie vitani na Rwanda na wakati huo nchi zilikua na uasi mkubwa ulioandaliwa kiustadi,
 
Kutaka kujua hilo jiulize kwa nini marekani aliwazuia UN wasichunguze na kutoa ripoti ya kisanduku cheusi kilichokuwepo kwenye ndege iliyodunguliwa
Apo pana mawili kwa mtazamo wangu;
Huenda kweli kuna jambo wanalificha ambapo ingejulikana ingekua hatar kwao

Huenda waliona haina tija yeyote
 
Kwani pk anahali gani huko alipo!!?
 
Yeah nilichojifunza ni kwamba wanajeshi hawaaminiki hasa wale wa vikosi maalumu
Je hii maada inauhusiano wowote na Kagame Kufanya mabadiliko makubwa jeshini apa Rwanda
Labda anahofia usalama wake au makachero wa vikundi vinavyoipinga serikali yake
 
Yeah nilichojifunza ni kwamba wanajeshi hawaaminiki hasa wale wa vikosi maalumu
Labda anahofia usalama wake au makachero wa vikundi vinavyoipinga serikali yake

Lakini kasaidia sana mpaka hapa Rwanda ilipofikia mchango wake ni mkubwa sana, na Ukabila sio mkubwa sana kama ilivyokuwa kipindi cha habyariman.

Amestabilize mamno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…