Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Bro ni Rwanda hii unaiongelea au Rwanda Nyingine. Top officers wote jeshini na idara nyeti ni wa kabila moja

Nahisi ni mechanism ya Kujilinda kwa kagame, kwa hili nakubaliana na Wewe kaka.

Kwa Issue zingine sioni kama kunae shida.

Pamoja na Hayo yote, hii mabadiliko ya Kijeshi aliyoifanya bado inafikilisha, inaweza kuzua mamluki wengi zaidi ndani ya RDF , ngoja tuone.
 
Fact,s
RIP Juve mwanangu. You were a great man. Hata hivyo, kama ulionewa kama ulivyomuonea Gregoire Kayibanda, time will tell. Uzuri ni kwamba hata huyo aliyeamuru ndege itunguliwe naye atakufa tena saa nyingine kifo kibaya kuliko hicho. Mungu anamuona
Juve hakumuua Kayabanda bali kanali Nyugera ndio alikiuka maagizo ya kumweka kwenye house arrest akaamuru asikari aliokua nao wampige risasi......Juve hakutoa order hiyo ila aliamua kukaa kimya kwa kuogopa wanajeshi wenzie waliomuweka madarakani
 
Sure, Special forces Wengi huuza Game.

Hata hapo Nyumbani , Kifo cha Jemadari Magu kiliacha maswali mengi, na Pengine wenye nayo Majibu sahihi ni hivyo vikosi Maalum
Tuombe uhai 2051 Sheria za kimataifa zinaruhusu behind the scene

Secretary wa Baba wa Taifa wa maisha yote yule Bibi wa Kiingereza nae aliandika kitabu kuhusu Baba wa Taifa ile nyuma ya pazia yenyewe laki ni kaomba kitolewe 30 years baada ya kufa kwake
 
Nani alitungua ile ndege akaua marais wa nchi mbili ?

Moronight walker mtu chake
Alitungua ndege alikuwa ni second lieutenant Jack nzinza ( kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali)ndiye alirusha kombola la 16 IGLA RUSSIAN MADE SURFACE TO AIR MISSILE.
Alikuwepo na James Kaberebe (kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali) alikuwa kama msikamizi wa tukio, pamoja alikuwepo na Erick hakizimana. Walikuwepo eneo la Masaka hill kigali usiku saa 2.
Waliondoka Mulindi ( higher commands battalion) kwa kutumia truck mpaka kigali, kisha wakafanya tukio.
Walivyorudi mulindi baada ya kuangusha ndege.

James kaberebe akaimba wimbo huku Askari wa RPA wakirudia. Aliimba kwa kiswahili
"

"Habriymana akifa mimi siwezi kulia nitamtupa kagera, awe chakula cha mamba"​

Tuombe uhai 2051 Sheria za kimataifa zinaruhusu behind the scene

Secretary wa Baba wa Taifa wa maisha yote yule Bibi wa Kiingereza nae aliandika kitabu kuhusu Baba wa Taifa ile nyuma ya pazia yenyewe laki ni kaomba kitolewe 30 years baada ya kufa kwake
Anaog

Anaogopa nn
 
[emoji848]
 
Alitungua ndege alikuwa ni second lieutenant Jack nzinza ( kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali)ndiye alirusha kombola la 16 IGLA RUSSIAN MADE SURFACE TO AIR MISSILE.
Alikuwepo na James Kaberebe (kwa sasa ni mstaafu cheo cha generali) alikuwa kama msikamizi wa tukio, pamoja alikuwepo na Erick hakizimana. Walikuwepo eneo la Masaka hill kigali usiku saa 2.
Waliondoka Mulindi ( higher commands battalion) kwa kutumia truck mpaka kigali, kisha wakafanya tukio.
Walivyorudi mulindi baada ya kuangusha ndege.

James kaberebe akaimba wimbo huku Askari wa RPA wakirudia. Aliimba kwa kiswahili
"

"Habriymana akifa mimi siwezi kuria nitamtupa kagera, awe chakula cha mamba"​

Wote hao member wa RPF walipokea muongozo toka kwa Kanali PF(Code name) msaliti kutoka vikosi maalumu vya kumlinda raisi tokea Head unit na kuna mengi yamefichwa ili RPF waonekane mashujaa wa ukombozi
 
Back
Top Bottom