Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Yeah nilichojifunza ni kwamba wanajeshi hawaaminiki hasa wale wa vikosi maalumu
Mkuu kagame juzi kafukuza mageneral 2 jeshini.

Pia kafukuza askari zaidi ya 200.
Karibu 100 ni wa vyeo vya juu.
Jamaa shida nini. Askari 200 ni wengi mno tena maoficers wa vyeo vya juu, vipi kulicover hizo nafasi, maana kuna kwenda coz na uzoefu.

Au wasiwasi wa kupinduliwa.
Maana wanasema wengine watashitakiwa mahakamani.
 
H

Anajua kitakachofuatia sababu serikali ya Tanzania haitamkingia kifua tena....
 
It was Over , Let all those Sadness never come again.

Africans never kill each other tena, we are sisters and brothers and as Waafrica sisi tuna deserve kuwa Wamoja.
 
Baada ya hapo ikafatiwa na umwagaji damu mkubwa sana katika historia ya Africa maiti zilielea juu ya mito hadi wakaweka wavu daraja la Rusumo kuzuia miili isiingie ziwani
Nilipoteza almost watu 70 kwenye ukoo upande ule..Cha ajabu wote waliuawa na wanajeshi wa RPF wakisingiziwa kua ni Intarehamwe
 
Nilipoteza almost watu 70 kwenye ukoo upande ule..Cha ajabu wote waliuawa na wanajeshi wa RPF wakisingiziwa kua ni Intarehamwe
Pole sana aisee,Nae moto unamsubiria Hana zaidi ya miaka 20 Duniani kamwaga damu za watu wengi sana utadhani ataishi milele zaid ya kukimbiza upepo
 
Back
Top Bottom