Rest In Peace Kizzo Gunz

Posta ya 200 na chenji. Marehemu ni nani nani? Kama ni ngada pia poa
 
Who is next? Kwani kabaki nani kwenye list?
 
Umesema kweli kabisa mkuu, nawashangaa Sana wanaolinganisha uvaaji wa hereni wa huyo marehemu na utamaduni wa kimasai. Kimsingi ni tofauti.
Mi nikiona mtu kavaa hereni namna hiyo namchukulia negative sana, na sio mimi tu ni watanzania wengi Sana Kwa mujibu wa mila na desturi zetu.
Jamani tujitahidi kujichunga na vitu hivi vidogovidogo ambavyo vinawezakuwafanya watu wakutafsiri vibaya.hata ukifariki.
Kwa upande wangu mimi nikiona mwanaume kavaa hivyo ( hereni za hivyo) namfikiria ni anafirwa.
Any way Mwenyezi Mungu amuweke mahala anapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…