Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Namkumbuka 2015 kampani za kumweka Edward Madarakani. Kambi ya Kruz Inn hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia alikuwa ChademaHalafu kama nilishawahi kumuona viwanja vya Mbezi Beach na Tripple 7!
Huyo maarufu kitambo toka miaka ya 2000 kupandaYeah alikua sana 777.
Mkuu huyo kitambo alikua anashida ya figo hilo liko waziwengine had wameweka picha zake nakuanza ku dought gonjwa lililomchukua
G 8Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjua
Who is next? Kwani kabaki nani kwenye list?Rest in power schoolmate!
We hung out a lot back in the day.
Skipped a lot of classes together just to go eat at our favorite ‘chips’ joint...Kwa Shirima.
On Sunday we kicked it at Coco beach! Flossing the latest sneakers, pushing our parents’ whips while bumping the hottest hip hop joints while gangsta leanin’ at the same time....just to mack at the shorties.
Herbert is gone. Now you are gone. Sitting here wondering who’s next? Me? Dassu? Gwamaka? Harold? Kunda?
Oh well such is life, though. Rest well hommie.
Poleni sana .alikuwa sponsor au Nini shosti?Wewe unamjua hasa.
PoleniHahahahaaa. Hajawahi kuwa sponsor kwangu. Alikua mshkaji tu bwana. Rafiki yake ndo alikua sponsor
Sasa mbona wanawake wanamlilia hvo? Kama alikuwa na mke? Naona wajane kila mahaliAsantee. Mazishi Meru jumamosi. Yupo mke wake
Umesema kweli kabisa mkuu, nawashangaa Sana wanaolinganisha uvaaji wa hereni wa huyo marehemu na utamaduni wa kimasai. Kimsingi ni tofauti.acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shoga
Kwangu mimi ndio nakuona Shoga, nilishaona hayo mambo Mombasa hata Tangakwa hyo ukivaa hereni tu.wewe ni shoga.?
na ukivaa gauni?
Yap wanaume mashoga wanapenda au karibia wote kamapani yao kubwa ni mademu.Wadada wengi wanamjua sababu ya lifestyle yake na kampani
kwa ushahidi UPI?Kwangu mimi ndio nakuona Shoga, nilishaona hayo mambo Mombasa hata Tanga
Wanaume wafirwaji ndio staili zao