GE2025 Rest in Peace No Reform no Election siasa si kuongea sana siasa ni sayansi vitu vinajifuta vyenyewe automatically

GE2025 Rest in Peace No Reform no Election siasa si kuongea sana siasa ni sayansi vitu vinajifuta vyenyewe automatically

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Leo nimepata majibu ya kwanin course yangu chuo iliitwa political science.

Kumbe siasa si kuongea siasa ni kusimamia kile unachokiamini kikamilifu mengine yatajifuta yenyewe bila shinikizo.

Leo tunashuhudia kufariki kwa no reform no election na hatimaye watu wamekosa waende na nini.

Siasa si kuongea sana hongera sana viongozi wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA kwa kuendesha chama kisayansi.
 
1. Mfungulieni mwenyekiti wa NRNE

2. Kifungulieni CHADEMA kiendelee kufanya siasa.

Kisha muone kati ya mikutano ya NRNE na mikutano ya OKTOBA TUNATIKI ipi itafana zaidi.

Huwezi kujitapa umeshinda wakati mshindani wako ameingizwa ulingoni akiwa amefungwa mikono.
 
Katika siku nimeona wana CCM wamepooza basi ni leo, aisee walikuwa ni kinyonge sana, kuanzia mwenyekiti wa chama, chawa wake, hadi ule umati ukiwatizama usoni unaelewa wana mawazo yanawatesa...

Poleni sana..
Hatuna mawazo sema ww labda kisukari kiliathr macho yako
 
Leo nimepata majibu ya kwanin course yangu chuo iliitwa political science.

Kumbe siasa si kuongea siasa ni kusimamia kile unachokiamini kikamilifu mengine yatajifuta yenyewe bila shinikizo.

Leo tunashuhudia kufariki kwa no reform no election na hatimaye watu wamekosa waende na nini.

Siasa si kuongea sana hongera sana viongozi wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA kwa kuendesha chama kisayansi.
Sayansi gani anayotumia ccm
 
Yule mzee wenu KingKong ukimtizama usoni alikuwa anatia huruma sana, hata umati ulikuwa hauja changamka kabisa... chawa wachache wa kukodi walikuwa wanajitahidi kuchangamsha but that crowd was dry...

Poleni sana...
Nimesema nenda ukapime kisukari
 
Msishangae pale Mbowe atakapochukua fomu kama mgombea wa CHADEMA.​
 
Kama we ni mtoto wa Alhaji Kimbisa si ungejiita tu Kimbisa kuliko Kimbesa
 
Wenyewe walishahamia CCM kiakili na kiroho zamaanii...
Screenshot_20250807-161431.jpg
 
Back
Top Bottom