Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Na Mimi nilikuwa nawaza huyu chawa Mpya katokea wapi? Anasema "vinajifuta automatically" wakati yeye mwenyewe anaweweseka na NO REFORMS NO ELECTION!!Punguza mihemko chawa mgeni
Haiwezi kufa kisa Samia kachukua fomu... Ndiyo kwanza safari unaanza.