Wangezidisha furaha kuzidi ile tungeshuhudia vichaa lakini kwa shangwe lilikuwa lenyeweKatika siku nimeona wana CCM wamepooza basi ni leo, aisee walikuwa ni kinyonge sana, kuanzia mwenyekiti wa chama, chawa wake, hadi ule umati ukiwatizama usoni unaelewa wana mawazo yanawatesa...
Poleni sana..