TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

si haba mkuu
 
Poleni sana

Inasikitisha bongo watu kama hawa licha ya kufanya makubwa lakini bado hawathamini
Nashanga wakina shyshy gigy mnd konde na wengineo ndy wanaonekana wanafanya makubwa

Ova
Huwa hawanahabari ya kukukuza vipaji.ila wanapenda kutumia vipaji kwa maslahi yao.Yaani huyu jamaa ingekuwa nchi nyingine angepewa push na serikali,maana kipaji angeweza ingizia nchi fedha za kigeni.Ukisoma huu uzi utakuta bongo walikuwa wanakomaa naye kumuweka darasani afanye vitu vilivyokuwa siyo saizi yake ,yaani atafute course work,ndiyo maana hata alidisco.lkini ukisoma hizo posts hapo juu utagundua jamaa tayari alikuwa kwenye level ya Phd akiwa first year.so walimu walimfelisha huenda alikua na fikra za juu sana kiasi walikuwa hawamuelewi.Yaani hapa nalia na mfumo wetu wa elimu ulivyo ligid.yaani uko so machenical.Yaani iliishia kumtangaza TO huko 2006 baada ya hapo hakuna time ya kumfuatilia na kumpromote aweze kufika mbali,only sponsorshipi ya ada.Hizi ni talents ambazo baadaye wangakuja kutafuta ufumbuzi wa changamoto za nchi.
RIP Tanzania one mwenye record kubwa sana.huwenda record take haijavunjwa na haitakujwa kuvunjwa hivi karibuni.kama ni kweli aliscore hizo maks
 
Dharau zake pia zilichangia kumfelisha.
Wapo baadhi ya Ma T.O wamepushiwa na serikali hii hii wamefika mbali sana.Wamekuwa asset ya nchi na baraka za kiuchumi kwenye familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharau zake pia zilichangia kumfelisha.
Wapo baadhi ya Ma T.O wamepushiwa na serikali hii hii wamefika mbali sana.Wamekuwa asset ya nchi na baraka za kiuchumi kwenye familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu hana hatia ,mtu akifa hapaswi kunenewa mabaya..!wapo wanao mjua zaidi lakini hawamnenei mabaya.

Huu ni mda wa kumuombea apokelewe pema peponi.Kila mwanadam ana safari yake ya maisha hayo ndio maisha aliyoandikiwa kuishi hapa duniani.

Wapo waliograduate na kufa few months after gradu,ni maisha yooh
 
Ila alisahau kitu. Very sorry.
 
Mwalimu wangu wa chemistry form five pale Tosamaganga. Naona alikuwa amebadilika sana
 
R.I.P legend Kihombo
ulinipa msingi mzuri sana kwenye Physics na Chemistry high school 2013-2015 ndani ya kama miezi michache tu ila ilitosha kunipa matokeo mazuri
 
nilimwacha tosa huyu dogo..alale anapostahili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…