TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Unaweza kukariri Number au Physics
Mtanzania mwenye akili zaidi au mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukariri?
Tanzania ina watu wawili tu wenye akili zaidi.
  1. Nyerere
  2. Tuntemeke Sanga
Anyway RIP, Rest in Eternity. May The Holy Mary, Mother of mercy be wit

May his soul rest in eternal peace.

Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
Hakuna course inayoweza mpeleka mtu puta wakati amekuwa best student
Alitakiwa kutafuta Scholarship angekua Professor kwa muda mfupi.
Elimu ya Bongo Lecturers wakishakujua backgroud yako wanakukamia
 
Mkuu Altezza ya mill 6 mkononi unapata unasema si haba?huyu kama yanayoandikwa hapa ni ya kweli alitakiwa awe anaendeshwa kwenye gari nzuri,analala pazuri na ana watu wanamnyenyekea kwenye wadhifa wake but ona alivyo anaonekana kama analazimisha furaha ambayo hana.

Haijulikani amepewa gari apeleke car wash au ni yake,yaani usiyemjua unaweza kumdharau kumbe kichwani humfikii hata kidogo.tukumbuke haya siyo maisha wazazi wengi wanayotegemea watoto wao waje kuishi baada ya msoto mwingi pamoja na kulipa ada,mzazi anategemea mwanae awe smart baada ya kufaulu ila hapa nyumbani mambo ni tofauti.

Najiuliza hivi kweli wizara ya elimu ilikuwa haina details zake ikampa kitengo au ni connection alikuwa hana?hakika kama kuna mtu alikuwa anambania asisogee basi ana la kujibu mbele za Mungu siku yake ikifika.
 
Huyu mwamba Martin Chegere balaa lake zito, T.O primary, O-Level mpaka A-Level.
Hajawahi kuwa T.O primary, ila aliongoza mitihani ya mock ukonga.classmate wangu huyu ukonga primary school na Pugu secondary school.
 
Best T.O ni Martin chegere
 
" Maradhi yaliyokuwa yanamsumbua"

Kwasisi wahakiki wa KAZI za Fasihi HUWA tunajiongezaga tu.

1) KWA kuwa alikuwa Star, Aling' ara bila shaka na wasichana na majimama yalimmendea na yeye bila kujua akaingia mzima mzima.

2) Kilichofuata ni kupata " Maradhi" ambayo ndiyo aliyoondoka nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…