TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona ni system ya elimu yetu
Japo niliona baadhi ya walimu wanatoa zawadi kwa wale wenye A kali

Na niliona pia wale best students marks zao zinatangazwa.
Hapo ni level ya shule Ila kitaifa hawaweki alama
 
Umefanya vizuri kuleta uzi huu, wakati mwingine lazima tuwazungumzie watu kama hawa .
Humu jf kuna threads zinawazungumzia wadangaji kama amber lulu,giggy money etc sasa kwanini tusiwazungumzie ma-TO
Okay
 
Wewe unahisi kwanini ni rahisi mtu kupata mia Sayansj na si Masomo ya Art ?
Science ni rahisi maana ukitumia tu kanuni vizuri na ukaielewa hyo formula hukosa hesabu mia moja, same applies kwa chemistry na physics. Tofauti na arts subject lazima usome vitabu vingi Sana na hata usahishaji wake tofauti na hesabu
 
Umeona kwa jicho la 3 mkuu hakuna atakayekuelewa.
Mambo mengi yanaendeshwa kisiasa halafu watu wanatake serious hadi wanatoa mishipa ya shingo na kugombana humu
 
Consistency ya matokeo haidetermine kwamba wewe ni genious ,mda wowote ule mtu anaweza change na kuwa hot , ili mradi kashafungua ubongo
 
Science ni rahisi maana ukitumia tu kanuni vizuri na ukaielewa hyo formula hukosa hesabu mia moja, same applies kwa chemistry na physics. Tofauti na arts subject lazima usome vitabu vingi Sana na hata usahishaji wake tofauti na hesabu
Unazingua wewe yani mpaka[emoji23][emoji23][emoji23] . Yani kujua kanuni tu unapata A, kwa nini ukusoma science, watu pamoja na kuwa mabigwa wa kukariri kanuni lakini walitaga mayai kama ya mbuni .
Hata tunasoma vitabu Nelkon , Roger , University physics, Chand na vingine, na bei zake ni gharama sana ,
History , Geography, economics na masomo ya arts yote ndo ya kukariri .
 
Science una kariri nini pale imekuwa history, to me science ni masomo marahisi hayana longolongo ukifundishwa na ukaelewa basi, use formula mpaka mwisho. So to my opinions kwangu science ni rahisi haihitaji blah blah
 
Hata mimi nilisoma science ,ko nami naiona rahisi sana lakini si rahisi kama unavyosema kwamba ukikariri formula unaitumia formula tu unafahuru,
Science ina concept nzito na ngumu, unaweza soma Roger moncaster au Nelkon na kukariri formula , hafu ukaenda kusolve maswali ya Chand ukaambulia sifuri.
Ambapo ni tofauti na vitabu vyenu vya arts ,ambapo unaweza soma vitabu mia lakini concept ni ile ile.
 
A ya history A-level hana mkuu,Nina uhakika na hili nalo liandika
 
Hata Mimi pia nimesoma science mkuu vizuri tu ukielewa formula na ku solve mchezo umekwishwa na kama haujui ndio unajiingiza chaka mwenyewe mazima Ila ni kitu simple, na niliacha advance maana haikuwa passion yangu science Ila ilikuwa ni masomo ninayoyapenda Sana aisee
 
Science ni rahisi maana ukitumia tu kanuni vizuri na ukaielewa hyo formula hukosa hesabu mia moja, same applies kwa chemistry na physics. Tofauti na arts subject lazima usome vitabu vingi Sana na hata usahishaji wake tofauti na hesabu
Sasa kwanini umeandika uongo bibie ?

Nani amekwambia urahisi wa somo huja kwenye kanuni au kisa kuna kanuni ?

Hakuna somo ambalo halina kanuni. Tofauti ya masomo ya Sayansi na yasiyo kuwa Ya Sayansi ni kuwa Sayansi ina majaribio tu na namba ila kinyume chake ni sawa.

Jibu sahihi ni kuwa wengi wanao soma masomo ya Arts wana uwezo mdogo na ndiyo huwa kimbilio la watu hao.

Ama kuhusu kusoma vitabu vingi kila somo linahitaji usomaji wa vitabu vingi. Na unaweza kusoma vitabu vichache na ukafaulu Historia.
 
Mimi sikusoma Historia na masomo mengine mfano wa hayo sababu Uongo wake ulikuwa wa wazi sana, tofauti na masomo ya Sayansi ambayo uongo wake umejificha, yaani masomo ya Arts hayana changamoto za kutumia akili ile ya darasani. Kadhalika misingi yake ni mibovu mno.
 
Si kweli bwana eti uongo wake, sasa science ndio rahisi mno Mimi naona basi tu walimu wengi ni wabovu wa hayo masomo.
 
Ndio kwangu ni rahisi haihitaji blah blah za jambo hili limepanga na kushuka zunguka huku na kule ukifundishwa na ukielewa hyo imetoka na una enjoy somo Sana mfano chemistry hivi no blah blah unafanya practical yako unapata jambo lako kiurahisi. Kikubwa tu kuwa na mwalimu mzuri mchezo umeisha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…