TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Maana yake uliamua kuwa mshabiki wa Kemia.

Unakubali ya kuwa unaweza kuukataa ukweli aidha kwa kujua au kutokujua. Hili tuliache kadhalika.
Ndio chemistry somo ninalolipenda Sana kuliko masomo yote
 
Hahaaa hata Mimi najua hzo Mambo za anga ni uongo na imagination tu za watu. Na pia vitu vingi tumeaminishwa ni uongo tu
 
#Rip Genius E.Kihombo
 
Umeshaambiwa sayansi inahitaji kusoma vitabu vichache tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimecheka sana Leo.
 
A ya history A-level hana mkuu,Nina uhakika na hili nalo liandika
Ndio maana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichokijua?
Anapobishana eti geography ni sawa na physics! Huku hata hajawahi ku drive equation ya error and dimentions just simplest, hajui hata vitabu vya physics vipoje

Pia kuanza kumkandia jamaa ilhali hamjui, hajawai kumuona ili tu aonekane anajua kubisha sana, hata kama amesoma history,Ila huyu sizani hata iyo Masters anayo kweli , Maana MTu wa levels , hiyo yuko very systematic hawezi kubishania kitu asichokijua
 
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Swalehe uzi wako utaniua kwa kicheko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😍😍
 
👍👍
 
Dr. Pole sana mkuu wangu...

Pole mno kaka....

Rip Genius E.Kihombo
 
👍👍
 
Kuongea ni rahisi...

Uchumi wao na wetu ni sawa?!!!

Hata huyo Elon Musk kazaliwa SA...mbona mafanikio makubwa kayapatia MAREKANI na isiwe kule "bondeni"?!!!

Marehemu Elias Kihombo alifanya makubwa kwa level ya vijana wa kitanzania...

1.KuINSPIRE wenzake kupenda kusoma kwa kuwafundisha "mapindi".

2.Kuweza kudahiliwa kusoma PETROLEUM ENGINEERING ambayo ni mtambuka mno kipindi hiki cha awamu ya uchumi wa VIWANDA.

3.Malengo yake ya KUANZISHA shule zitakazofundisha mitaala ya sayansi toka UTOTO(hii ingekuwani hatua kubwa mno nchini kwetu).

4.Kushirikiana na wadau wa ELIMU huko US kumfadhili katika miradi yake ya uandishi wa vitabu na hizo shule...hapa nitoe RAI kwa Dr.Baba Swalehe kuwa kwa ukaribu wake na marehemu na elimu yake "kuntu" basi ASIMAMIE ndoto hii ya genius wetu marehemu Kayombo ili iwe LEGACY kubwa.

Mwisho nikumbushe tu ya kwamba katika kipindi hiki ambacho nchi imepata kiongozi bora mwenye maono ya kujitegemea na kutumia vyema vipawa vyetu kwa haya mambo ya uchumi wa VIWANDA,basi E.Kihombo angekwenda kufanya mengi makubwa irrespective ya somehow kukosa "motivation" kulikomuandama Kama alivyosema Mtunduizi Dr.Baba Swalehe.

Rip Genius E.Kihombo,amen!!
 
Uzi upo kwenye page ya 42 lakini hakuna aliyesema Merehemu alikuwa anasumbuliwa na nini...

Kuna mdau mwanzoni alitoa hint(Tetesi) kwamba alisikia kama Jamaa "Alikuwa Kaungua na Umeme".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…