Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
We jamaa hembu acha kunivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji1787]ndomana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichikijua?
anapobishana eti geography ni sawa na physics! huku hata hajawai ku drive equation ya error and dimentions just simplest, hajui hata vitabu vya physics vipoje
Pia kuanza kumkandia jamaa ili hali hamjui, hajawai kumuona ili tu aonekane anajua kubisha sana, hata kama amesoma history,Ila huyu sizani hata iyo Masters anayo kweli , Maana MTu wa levels , hiyo yuko very systematic hawezi kubishania kitu asichokijua
[emoji23][emoji23] ulipoona dalili kwamba unaelekea kutaga yai la mbuni , ukaona ukimbie mapema kabla ya kuaibika. Watu wengi tuliosoma nao walikuwa wanaona wanaelekea kutaga walikimbia mapema Sana kama wewe .Hata Mimi pia nimesoma science mkuu vizuri tu ukielewa formula na ku solve mchezo umekwishwa na kama haujui ndio unajiingiza chaka mwenyewe mazima Ila ni kitu simple, na niliacha advance maana haikuwa passion yangu science Ila ilikuwa ni masomo ninayoyapenda Sana aisee
Na mimi mkuu...hope jioni mida ya saa10 nitakua freeHalafu ukiwa free nicheck
Nilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwa
Kila kifo kina sababu..Uzi upo kwenye page ya 42 lakini hakuna aliyesema Merehemu alikuwa anasumbuliwa na nini...
Kuna mdau mwanzoni alitoa hint(Tetesi) kwamba alisikia kama Jamaa "Alikuwa Kaungua na Umeme".
Sijaelewana mimi mkuuu...hope jioni mida ya saa10 nitakua free
🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] number ya ccm ya nini kijana
😲😲Nilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.
Bahati nzuri sijawa inspired na TO yoyote Tz wala kufundishwa nao wakati niko A level, lakini Kama huyu mwamba the best TO angenifundisha nadhani ningevunja rekodi yake. Mana ningechukua ujuzi wake wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.....Hii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.
Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.
His folkore chievements are strenuosly disputed.
Unaonaje na wewe ukakariri hivyo videsa uchwara halafu upasue Kama jamaa!??Hahaha.....
Kweli umewabomoa bomoa hawa waswahili.
Huko Tanganyika mtu akifaulu chemistry anaitwa genius!
Sijaona kitu chochote spesho kwa hawa wanaoitwa genius.
Ninachokiona hapa ni watoto wa sekondari waliokuwa na uwezo wa kukariri kanuni tu na kujibu maswali.
Tukisema tunaambiwa tuna wivu dhidi ya wenye akili mingi.
Akili mingi gani kukariri kariri videsa uchwara!
Aiseee.....
Sijui.Kwahiyo jamaa hakuwa Genius?
Jamaa uko negative sanaKitabu chako nani anunue?
Kawaida yake huyoJamaa uko negative sana
SawaSijui.
[emoji23][emoji23][emoji23]mhuni tu huyu ustaadhi na hapo ana wake watatu kaoa eti[emoji1787][emoji1787]
Shehe mwenye "siasa kali" anataka no.ya mrembo....
Halafu kutwa WANAHUBIRI wanawake WATEMBEE wakiwa wamevaa "tent"...
Hongera kupenda hesabu Mimi nilikuwa siipendi kabisa aiseeNilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.
Bahati nzuri sijawa inspired na TO yoyote Tz wala kufundishwa nao wakati niko A level, lakini Kama huyu mwamba the best TO angenifundisha nadhani ningevunja rekodi yake. Mana ningechukua ujuzi wake wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijataga mkuu hayo masomo niliacha mwenyewe na nilifaulu vizuri tu, Ila sikuwa napenda masomo ya science kila mtu na priority so nikaacha kabisa science na nilifaulu vizuri chemistry na biology and I wasn't interested in science my future haikupangiwa huko now nadunda Mungu anipe nini mie?[emoji23][emoji23] ulipoona dalili kwamba unaelekea kutaga yai la mbuni , ukaona ukimbie mapema kabla ya kuaibika. Watu wengi tuliosoma nao walikuwa wanaona wanaelekea kutaga walikimbia mapema Sana kama wewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida gani hebu nambie sikioniNina shida nayo tu, usiogope.
Maana yake hutaki kunipa si ndiyo ?
Sawa.Shida gani hebu nambie sikioni
Sema mchizi anaoneka alikuwa anawagonga sana watoto wa kike na umeme ndio unaonekana usoni ndio ulio mmwaga chini. Masikini sijui alikuwa Hali dawa za wazungu ambazo alikuwa anawaona kama hawana akiliKuna yule mwl, wa tuition wa physics muddy juzI kati kafariki... Huyo ndio tunafahamu.... Sasa Elias kamaliza juzi petroleum engerering chuoni kwetu..
Kafa lini?