TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

ndomana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichikijua?
anapobishana eti geography ni sawa na physics! huku hata hajawai ku drive equation ya error and dimentions just simplest, hajui hata vitabu vya physics vipoje
Pia kuanza kumkandia jamaa ili hali hamjui, hajawai kumuona ili tu aonekane anajua kubisha sana, hata kama amesoma history,Ila huyu sizani hata iyo Masters anayo kweli , Maana MTu wa levels , hiyo yuko very systematic hawezi kubishania kitu asichokijua
We jamaa hembu acha kunivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hata Mimi pia nimesoma science mkuu vizuri tu ukielewa formula na ku solve mchezo umekwishwa na kama haujui ndio unajiingiza chaka mwenyewe mazima Ila ni kitu simple, na niliacha advance maana haikuwa passion yangu science Ila ilikuwa ni masomo ninayoyapenda Sana aisee
[emoji23][emoji23] ulipoona dalili kwamba unaelekea kutaga yai la mbuni , ukaona ukimbie mapema kabla ya kuaibika. Watu wengi tuliosoma nao walikuwa wanaona wanaelekea kutaga walikimbia mapema Sana kama wewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijanishinda niliacha mwenyewe na my favorite some was chemistry mpaka keshokutwa
Nilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.
Bahati nzuri sijawa inspired na TO yoyote Tanzania wala kufundishwa nao wakati niko A level, lakini Kama huyu mwamba the best TO angenifundisha nadhani ningevunja rekodi yake. Mana ningechukua ujuzi wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi upo kwenye page ya 42 lakini hakuna aliyesema Merehemu alikuwa anasumbuliwa na nini...

Kuna mdau mwanzoni alitoa hint(Tetesi) kwamba alisikia kama Jamaa "Alikuwa Kaungua na Umeme".
Kila kifo kina sababu..
Siku zikifika zimefika tu!haijalishi amekufa kwa sababu gani ..
Hata sababu ikiwekwa bado haiwezi rudisha uhai wa marehemu.
Tupo dunia ambayo yeyote anakufa tu bila kujali ana hiki au hana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] number ya ccm ya nini kijana
🤣🤣
Shehe mwenye "siasa kali" anataka no.ya mrembo....

Halafu kutwa WANAHUBIRI wanawake WATEMBEE wakiwa wamevaa "tent"...
 
Nilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.
Bahati nzuri sijawa inspired na TO yoyote Tz wala kufundishwa nao wakati niko A level, lakini Kama huyu mwamba the best TO angenifundisha nadhani ningevunja rekodi yake. Mana ningechukua ujuzi wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
😲😲
 
Hii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.

Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.

His folkore chievements are strenuosly disputed.
Hahaha.....

Kweli umewabomoa bomoa hawa waswahili.

Huko Tanganyika mtu akifaulu chemistry anaitwa genius!

Sijaona kitu chochote spesho kwa hawa wanaoitwa genius.

Ninachokiona hapa ni watoto wa sekondari waliokuwa na uwezo wa kukariri kanuni tu na kujibu maswali.

Tukisema tunaambiwa tuna wivu dhidi ya wenye akili mingi.

Akili mingi gani kukariri kariri videsa vya kuokoteza!

Kuna mwingine anaitwa sijui Muddy fiziks! Wafuasi wake wanamuabudu kama masiha!

Aiseee.....
 
Hahaha.....

Kweli umewabomoa bomoa hawa waswahili.

Huko Tanganyika mtu akifaulu chemistry anaitwa genius!

Sijaona kitu chochote spesho kwa hawa wanaoitwa genius.

Ninachokiona hapa ni watoto wa sekondari waliokuwa na uwezo wa kukariri kanuni tu na kujibu maswali.

Tukisema tunaambiwa tuna wivu dhidi ya wenye akili mingi.

Akili mingi gani kukariri kariri videsa uchwara!

Aiseee.....
Unaonaje na wewe ukakariri hivyo videsa uchwara halafu upasue Kama jamaa!??

Wangapi wameshindwa kukariri??

Kwahiyo jamaa hakuwa Genius?
 
[emoji1787][emoji1787]
Shehe mwenye "siasa kali" anataka no.ya mrembo....

Halafu kutwa WANAHUBIRI wanawake WATEMBEE wakiwa wamevaa "tent"...
[emoji23][emoji23][emoji23]mhuni tu huyu ustaadhi na hapo ana wake watatu kaoa eti
 
Nilipenda hesabu tu lakini haya physics na chemistry yalikuwa jiwe la chuma kwangu.
Bahati nzuri sijawa inspired na TO yoyote Tz wala kufundishwa nao wakati niko A level, lakini Kama huyu mwamba the best TO angenifundisha nadhani ningevunja rekodi yake. Mana ningechukua ujuzi wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kupenda hesabu Mimi nilikuwa siipendi kabisa aisee
 
[emoji23][emoji23] ulipoona dalili kwamba unaelekea kutaga yai la mbuni , ukaona ukimbie mapema kabla ya kuaibika. Watu wengi tuliosoma nao walikuwa wanaona wanaelekea kutaga walikimbia mapema Sana kama wewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijataga mkuu hayo masomo niliacha mwenyewe na nilifaulu vizuri tu, Ila sikuwa napenda masomo ya science kila mtu na priority so nikaacha kabisa science na nilifaulu vizuri chemistry na biology and I wasn't interested in science my future haikupangiwa huko now nadunda Mungu anipe nini mie?
 
Kuna yule mwl, wa tuition wa physics muddy juzI kati kafariki... Huyo ndio tunafahamu.... Sasa Elias kamaliza juzi petroleum engerering chuoni kwetu..
Kafa lini?
Sema mchizi anaoneka alikuwa anawagonga sana watoto wa kike na umeme ndio unaonekana usoni ndio ulio mmwaga chini. Masikini sijui alikuwa Hali dawa za wazungu ambazo alikuwa anawaona kama hawana akili
 
Back
Top Bottom