Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
We jamaa hembu acha kunivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji1787]ndomana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichikijua?
anapobishana eti geography ni sawa na physics! huku hata hajawai ku drive equation ya error and dimentions just simplest, hajui hata vitabu vya physics vipoje
Pia kuanza kumkandia jamaa ili hali hamjui, hajawai kumuona ili tu aonekane anajua kubisha sana, hata kama amesoma history,Ila huyu sizani hata iyo Masters anayo kweli , Maana MTu wa levels , hiyo yuko very systematic hawezi kubishania kitu asichokijua