TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Huwezi sema kitu ni uongo kwenye science bila kueleza ukweli wake......
 
R.I.P ELIAS KIHOMBO, Jamaa wakati anatangazwa kuwa T.O mie ndiyo naingia Kidato cha tano Tosamaganga alikuja pale akiwa simple tuu raba, gujinsi gukubwa, kapelo kama kawaida, kakoti flani hivi kama msanii. Head master wetu enzi hizo Mwl.

Charwe R.I.P akasema Dogo katuheshimisha TosaBoys Vijana wangu mtakula Nyari wiki lote hili. Hata hivyo jamaa alikuwa anapenda mambo ya kufundisha fundisha, alipiga sana mapindi enzi hizo Vijana kula sana nondo kutoka kwa Elias Kihombo (ALIKUWAGA NA JAMAA YAKE SIKUMBUKI JINA).

Japokuwa mimi sikuwa Mpenzi wa mambo ya Tuition (Yaani nilikuwa sijui naionaje habari ya kusoma Tuition-Tuition kwa kweli sikuwahi kuisoma katika kusoma kwangu kote) sifa zake nilikuwa nazipata kwa wale Waliokuwa wanasoma kwake. ALALE PEMA PEPONI Mha. Mwl. Elias Kihombo T.O ACSSE 2006 Tosamaganga High School , R.I.P Schoolmate and Professionalmate (Eng)
 
I agree with you
 
Kaka nimependa ulivyovuruga kwenye kimalkia chako kuanzia mstari wa pili, Maana utakuwa unaijua mwenyewe na si msomaji😂😂
 
Unajua maana ya jamii lkn!
binadamu tulivyoumbwa hatuwezi kukubaliana kila kitu.....
ukishaelewa hichi kitu you will never ever struggle to get into deep argument
simply put mkubaliane kuto kukubaliana
Kutokubaliana wapi
Waache wivu wa kijinga
 
Nimezunguka kooote,sijapata jibu liloniridhisha kama hili.Asante sana mkuu!
 
Elimu ya ‘advance’ ndo elimu gani hiyo?

Na hiyo 98% ni ya shuleni au ya baraza la mitihani?

Kama ni ya baraza la mitihani, siku hizi wameanza kuweka mpaka viwango vya asilimia kwenye matokeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…