dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 932
Huwezi sema kitu ni uongo kwenye science bila kueleza ukweli wake......Mimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.
Mathalani asilimia zaidi ya 90% ya Quantum Mechanics ni Uongo, ukienda kwenye Sayansi ya anga hasa Astronomy zaidi ya asilimia 100 ni Uongo.