TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Mimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.

Mathalani asilimia zaidi ya 90% ya Quantum Mechanics ni Uongo, ukienda kwenye Sayansi ya anga hasa Astronomy zaidi ya asilimia 100 ni Uongo.
Huwezi sema kitu ni uongo kwenye science bila kueleza ukweli wake......
 
R.I.P ELIAS KIHOMBO, Jamaa wakati anatangazwa kuwa T.O mie ndiyo naingia Kidato cha tano Tosamaganga alikuja pale akiwa simple tuu raba, gujinsi gukubwa, kapelo kama kawaida, kakoti flani hivi kama msanii. Head master wetu enzi hizo Mwl.

Charwe R.I.P akasema Dogo katuheshimisha TosaBoys Vijana wangu mtakula Nyari wiki lote hili. Hata hivyo jamaa alikuwa anapenda mambo ya kufundisha fundisha, alipiga sana mapindi enzi hizo Vijana kula sana nondo kutoka kwa Elias Kihombo (ALIKUWAGA NA JAMAA YAKE SIKUMBUKI JINA).

Japokuwa mimi sikuwa Mpenzi wa mambo ya Tuition (Yaani nilikuwa sijui naionaje habari ya kusoma Tuition-Tuition kwa kweli sikuwahi kuisoma katika kusoma kwangu kote) sifa zake nilikuwa nazipata kwa wale Waliokuwa wanasoma kwake. ALALE PEMA PEPONI Mha. Mwl. Elias Kihombo T.O ACSSE 2006 Tosamaganga High School , R.I.P Schoolmate and Professionalmate (Eng)
 
Ndiyo maana kipimo cha ujiniasi ni "exceptional skills," "rare natural ability," bila kujali tasnia ya mtu husika na hata time factor ("consistency"). That said, the man in question was very special & exceptionally knowledgeable! This doesn’t in any way rule out the obvious fact that any relatively salubrious individual can be so excellent and can even achieve almost anything to which they may choose to focus their undivided attention.
I agree with you
 
Ndiyo maana kipimo cha ujiniasi ni "exceptional skills," "rare natural ability," bila kujali tasnia ya mtu husika na hata time factor ("consistency"). That said, the man in question was very special & exceptionally knowledgeable! This doesn’t in any way rule out the obvious fact that any relatively salubrious individual can be so excellent and can even achieve almost anything to which they may choose to focus their undivided attention.
Kaka nimependa ulivyovuruga kwenye kimalkia chako kuanzia mstari wa pili, Maana utakuwa unaijua mwenyewe na si msomaji😂😂
 
Unajua maana ya jamii lkn!
binadamu tulivyoumbwa hatuwezi kukubaliana kila kitu.....
ukishaelewa hichi kitu you will never ever struggle to get into deep argument
simply put mkubaliane kuto kukubaliana
Kutokubaliana wapi
Waache wivu wa kijinga
 
Huyu aliangushwa na u genius wake

Hawa wakiwa level ya chini huwa hawasomi wala hawahudhurii vipindi na hakuna anayejali na wanafaulu

Huko chuo marks haziko kwenye mtihani tu, unazikusanya kwenye kazi nyingi kama assignments nk ikiwemo mahudhurio

Akishaanza kutohudhuria maprofesa wanaona dharau maana siku zote hawapendi dharau

Kwahiyo ukichanganya kukosa kwa marks za course works na fitina za maprofesa lazima afeli
Nimezunguka kooote,sijapata jibu liloniridhisha kama hili.Asante sana mkuu!
 
Elimu ya Advance ndiyo ngumu zaidi katika levels zote za elimu TZ. Curriculum ina content kubwa inayopaswa kumalizwa ndani ya muda mfupi sana, kihalali mwaka na nusu.

Comb za sayansi ni hatari zaidi hivyo mtu kupata consistently masomo yote above 98% for sure he is exceptional. Which means ubongo wake ameweza kuelewa kile alichokuwa amekisoma kwa ujumla wake by 98% tena katika domain dofauti za physics, chemistry and mathematics.

High IQ inapimwa kwa maswali na uwezo wa kuyasolve maswali husika. Juhudi zake katika kile alichokuwa anakifanya ni za kuheshimiwa.
Elimu ya ‘advance’ ndo elimu gani hiyo?

Na hiyo 98% ni ya shuleni au ya baraza la mitihani?

Kama ni ya baraza la mitihani, siku hizi wameanza kuweka mpaka viwango vya asilimia kwenye matokeo?
 
Back
Top Bottom