TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Aisee so you call him genius for A level physics?? Kukariri tu hakuna chochote watakachofanya after hapo ndio maaana hakuna mchango wowowte kwenye either technology or whatever kutoka kwa hao the so called Tanzania one
Kama na sense hard feelings hapa, mzee unateseka au?

Unaweza ukawa ulimzidi maisha but the guy was amazing, usingeweza mfikia kichwani. May be hata all of ur relatives. Kichwa yake ilikua gifted
 
Dah huyu mwamba story zake nimesikia sana, Minaki sijui kama alifika ila walipitaga kina Walter tu.

Moody physics alifariki mkuu.. nimesoma sana kwake, notes zake zilikua zinakupa hints ukachimbe zaidi.
 
Dah kaondoka wakati mmoja na Ginimbi? Wapokelewe tu huko kishujaa.

Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.

R. I. P
 
Msamehe bure huyo anaesema jamaa alikuwa anakariri, mtu na aina hiyo mnakuwa mnaongea lugha tofauti kwa hiyo kuelewana ni ngumu sana.

Mtu aliyesoma physics advance, hawezi sema jamaa alikuwa anakariri kwa sababu anafahamu nature ya Hayo masomo yalivyo.
 
Ok he was talking about relativity the way I heard it. Inawezekana alisoma mimi sikusoma kipengele hiko bado inabaki kua alikua mkaririji mzuri. I know our education system ni kuzalisha watu wenye uwezo wa kukariri maswali, formulas na definition
Nilijua hii mada itaibuka

Unamuppreciate mzungu Thomas Aquinas kuliko the same African mwenzako humfahamu.

Tuliyeishi nae tunakwambia he was damn gifted unakomaa alikua ana akili.

What is wrong with you are you fine

Ok he was dumb as hell
Happy?
 
Kama na sense hard feelings hapa, mzee unateseka au?
Unaweza ukawa ulimzid maisha but the guy was amazing usingeweza mfikia kichwan. May be hata all of ur relatives.kichwa yake ilikua gufted

Elimu yetu haiwapi watu kama hao nafasi waka shine na pia choices za masomo ni chache.

Otherwise angepewa nafasi ya kusoma kitu ambacho anakipenda na anakimudu angemaliza vizuri tu, labda angevumbua na mavitu mengine ya Physics. Very sad.
 
Yeah hizi ndio habari sasa. Unajifanya unamjua ww tu, huyo mtu alikuwa muhimu kuliko k wenu. Ukitoa habari unatoa za kueleweka. Cause of death, immediately
Or chronic, when and where. Sasa unaona hilo gazeti lako liko sawa?
Acha umbea mtoto wa kike. Itoshe kujua mwamba katangulia, ukiona mtu anauliza sana ooh kafa na nin. Ujue ni snitch tu hana lolote
 

Nenda kwenye kitabu cha waliohitimu 2013 if you can see his name, by the way alikuwa anapuuzia sana shule, tulikuwa nae field TPDC akiwa alihudhuria only one week, prof. Temu amekuja kutembelea he was explaining the thing that he don know, superviser alikuwa ndugu yake alimkataa pale pale kuwa alikuwa hahudhurii, sina uhakika kama ni hiki kilichomtoa chuo, baada ya hapo kuna shule alienda kufundisha kuna uzi humu unaelezea tafuta
 
Mkuu achana nar huyo.wala asikusumbue kutoa ushahid hao watu wengi ni ma ngwini. Mimi ni engeneer nmesoma pale coet na naweza diriki kusema ..kuna watu wako talented aisee..hawa kariri kabisa.wanaelewa mambo, yaan test au quiz unaweza shangaa mtu kapata 98...anaefatia ana 30...na ni hvo hvo kila test. Kuna jamaa semista ya kwanza mwaka wa kwanza alipiga gpa ya 4.9. Tele hyo watu nuksi
 
Kama huyo alikua genius sijui Mozart alikua nani...[emoji849][emoji849]
So appreciating Joannes Chrysostomus Wolfgangus Theophilus Mozart

Just because he is white
Anyway Africans tupo hvo

Matokeo yake o level alifeli all other arts subject ,D and C but physics chem math alkua ana A her mother alkua ni secretary wa shule so alkua anamtaftia vtabu na kumpa anasoma mwenyewe

Anyway nkikuelekeza Sana bado hutoelewa your mindset ipo hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…