hHbu tuanzie hapa , kwanini unamkataa jamaa kwa mtazamo wako je , haiwezekani
Mshikaji alikuwa na imagination za mbali mno, was real genius, he was passions, vision but he try to pust and hit the target, kama ukipata kusikiliza vision zake kuhusu space relativity , black holes, na mechanisics especial kweny rotation dynamics Dah..
U genius wake unakuja hapa amekuwa alama ya physics kwa phyisician wa tz, amesababisha ndoto njingi za watu zikawa real. Jamaa aliku anamkubali sana Eistein na yeye alikuwa anatamani kuwa like him. Naaamini angepewa miaka 40 zaidi angefanya kitu