TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

1605821959570.png
 
The blessed one,kwa wasiosoma science advance watabeza Ila ukweli n kwamba. Physics kupata A-99/% huwezi sema umekariri.

NA ISITOSHE, ALIKUWA ANAUWEZO WA KUSAHIHISHA SOLUTIONS ZENYE MAKOSA KWENY REVIEW NYINGI. Kwa uwezo wake inathibitisha jamaaa alikuwa FUTURIST MKUBWA na asset htr imepotea.

He was a living genius.

#R.I .P GENIUS KIHOMBO#
 
He was passions, vision but he try to pust and hit the target, kama ukipata kusikiliza vision zake kuhusu space relativity , black holes, na
mechanisics especial kweny rotation dynamics Dah.

Naweza pata wapi nikaskiliza hizo vision mkuu?
Mzee sina hakika kama ana audio recorded, bcoz mm nimemaliza miak ya nyuma kidogo, na wakati huo alikuwa anaproject ya kuundaa vitabu.

Sijajua ila tafuta vitabu vyake nahisi vipo ingawa sikuwai kuvitumia, nilitumia notes za kuandika kwa mkono tu ambazo ninazo mpaka leo
 
Alazwe pema jembe la Physics Elias Kihombo. Aliandika kitabu cha maswali na solution. Kama bado kipo basi ameacha kitu.
Ameacha vitabu vingi ambavyo vilikua chini ya organization yake inaitwa SPI kama.sikosei,apumzike salama wengine piah ametusaidia kuwa hapa,RIP kihombo
 
Sasa Elias alkua anakupa alternative tatu ya swali moja utasemaje huyo mtu anakariri , Mimi tu physics nlkua sikariri and that made us different

Anyway sijataka kubishana na huyo da Vinci because hamjui

Mimi nmekaa nae nmeishi nae , nmesoma nae pia
Kihombo anajua sana, wengine kaka unakaa kimya tu kama inshu ni kukariri kila mtu angekariri na angepiga misonge,lakini haiwezekani tujifunze ku appreciate uwezo wa kihombo,jamaa alikua na vision sana maana kuna vitabu vingi sana chini ya SPI ameviandika.
 
Tansia ya physics na mathematics kusema kweli Imepata pigo kubwa nchini karibuni. Muddy physics katangulia tena leo Kihombo. Janjajanja akina arts History geography yanazidi kudunda tu kwenye ardhi ya mola
Usiseme hivo kwa hasira kijana, kifo ni kwa yoyote
 
Huwa simjibu huyo kurlzawa

Mtu mmoja mpumbavu since nmetambua Hilo sjawahi mjibu anabakigi kujiongelesha tu

Sometimes ndo way ya ku deal na wapumbavu usimpe attention he is craving for
Mpaka hapo umeshajibu
 
Kihombo anajua sana,wengine kaka unakaa kimya tu kama inshu ni kukariri kila mtu angekariri na angepiga misonge,lakini haiwezekani tujifunze ku appreciate uwezo wa kihombo,jamaa alikua na vision sana maana kuna vitabu vingi sana chini ya SPI ameviandika
He was telling me that he had a vision ya kuanzsha spi Schools

Kids wawe wanafundshwa science subjects since young

Kuna kampuni moja pia ya kuchapisha vitabu ipo Us he was asking about it a lot achapishe vitabu vyake huko meaning vitabu vyake viwe recognized world wide anyway naomba uzima tu ntajarbu kufanya hiyo kazi

Kaacha mtoto mmoja
 
Back
Top Bottom