TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Eti ukariri physics,
Maths
Chem?????
Hilo gumu
Huyo alikuwa gifted na watu went uwezo mkubwa kiakili huwa wako hvyo wanafanya vitu tofauti na watu wengine, Mambo magumu ndio wanataka kujifunza siku zote
Huyo anaesema anakariei NI wivu u amsumbua anafikiri abavyokariri history ndio physics
Ndio unakalili sasa kaitendea nn physics kama alikua anaijua vizuri yani kaleta nn kipya kama sio kukalili
 
Haya sawa

Mani naona unapenda league ... And I don't give a shit about it

Natype hii habari nmetoka operation room kufanya Minimally invasive endonasal endoscopic surgery

Hafu aah okay sawa usiku mwema
Kopite nawe acha sifa. Kwani kakuuliza umetoka kufanya nini?

We know you are a doctor na now unasomea specialization.
 
So appreciating Joannes Chrysostomus Wolfgangus Theophilus Mozart

Just because he is white and because you didn't know Elias you are happily mocking him

Anyway Africans tupo hvo

Matokeo yake o level alifeli all other arts subject ,D and C but physics chem math alkua ana A her mother alkua ni secretary wa shule so alkua anamtaftia vtabu na kumpa anasoma mwenyewe

Anyway nkikuelekeza Sana bado hutoelewa your mindset ipo hvo
Sekretari pale Tosa? Maana O level alimaliza Tosa pia
 
Leo tunavyozungumza Elias Kihombo hatunaye tena duniani. Inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili.

Tunahitaji kuwa Karibu na Mungu wakati wote kwani safari yetu ipo mikononi mwake.

wana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, , !!!

I will never Forget you My brother

You will be missed forever and always. The beautiful moments you shared with me will always speak of a great person that you were. Rest in peace up in the heaven

-----
ALAMA ALIZOACHA ELIAS KIHOMBO

Imepita miaka takribani miaka 14 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi alishindikana katika masuala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's

Mwaka 2006, Necta ilimtangaza mwanafunzi Elias Kihombo kutoka Tosamaganga Secondary School kuwa ndo kipanga wa mwaka huo akiwapita wanafunzi wenye akili zaidi waliovuma toka shule kongwe na special schools kama kibaha, ilboru, mzumbe, kilakala, Tabora boys etc ukweli ni kwamba Elias Kihombo hakuwa maarufu kwa kipindi hiko na wengi walisikia tu story zake haswa kwa wanafunzi wa Mzumbe Boys ambao Mara nyingi walipata kumuona katika mazingira yao.

Kumbuka kwamba Elias Kihombo hakupewa Priority kubwa sana ya kuwa T.O wa Advance Level kutokana pia na matokeo yake ya Kidato cha Nne (4) kuonekana kuwa ya kawaida sana, Kihombo alifanikiwa kupata Division One (1.14) akiwa na Physics-A Chemisrty-A Biology na Mathematics-B, Ndipo mwaka huo 2003 alipata kuchaguliwa Tanga Technical school iliyopo mkoa wa Tanga (tetesi), lakini baadae aliamua kurudi tena katika shule yake ya zamani yaani Tosamaganga secondary kuendelea na masomo yake ya Advance level. Alimaliza hapo hapo akifanikiwa kuwa mwanafunzi wa kwanza toka Tosamaganga kwa Advance Level kuwa mwanafunzi bora kitaifa, Alifanikiwa kupata maksi za juu sana na kupata Division One (1.3)
Physics-A
Chemistry-A
Advanced Mathematics-A

October 2006 Alichaguliwa kujiunga na University of Dar Es Salaam (UDSM) akiwa kama T.O kusoma Bachelor of Science In Telecommunication Engineering (4years) na tetesi zinasema alifanikiwa kupata ufadhili wa masomo yake chini ya kampuni ya Airtel.
Siku zilienda na alikuwa karibu kumaliza Elimu yake ya chuo kikuu, huku akipata madili mengi ya kufundisha Tuition maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dar Es Salaam na shule nyingi za sekondari ndani ya Tanzania hasa shule za Advance.

Lakini baada ya Miaka 4 kupita ikiwa miezi michache tu imebaki ya kumaliza chuo Tanzania One Kihombo alidisco chuo na hivyo kumfanya asifanikiwe kupata degree yake ya kwanza mwaka huo 2010, lakini wengi wanasema hakupaswa kudisco chuo lakini ndivyo ambavyo Hatima yake ilipoishia hapo. (tetesi ).

Moja kati ya maneno ambayo wengi wanamnukuu aliyopata kuyasema ndani ya Miaka hiyo, alisema "Duniani walionipita kwa akili ni watu wawili tuu wa kwanza Mola, wa pili ni Mzungu" hapa ndipo hatima yake inavyosemekana ikafungwa na wakuu wake lakini wengine wanasema vingine.

Elias hakutaka kwenda chuo chochote kile na ndani ya Miaka hiyo mitatu baada ya kudisco chuo, yaani 2011,2012 na 2013 alikuwa anazunguka shule mbalimbali za sekondari Tanzania kupiga mapindi ya Physics na Chemistry na kwelii huyu jamaa alikuwa ni Invisible katika masomo hayo mawili, Japo Pure Mathematics alikuwa hafundishi kabisa kwasababu alikuwa anasema "Siwezi kufundisha Somo rahisi duniani kama Pure Mathematics, Mimi nafundisha Physics na Chemistry tu"

Ndipo baada ya Miaka mitatu kupita (3) T.O aliyetukuka zaidi katika vinywa vingi vya wanafunzi wa Tanzania, kutokana na ufundishaji wake na kuwaita wanafunzi wake Nyumbu na kuwa na Jeuri zaidi ya Akili zaidi ya watu wengine, alifanikiwa kurudi tena ndani ya University of Dar Es Salaam safari hii akiwa ameamua na amezamilia kuchagua kozi nyingine Mpya kabisa iliyoanzishwa mwaka huo 2013 hapohapo Udsm iliyoitwa (Bachelor of Science In Petroleum Engineering). Hii kozi ilikuwa inachukua wanafunzi 20 pekee Tanzania nzima tena wale waliosoma PCM tu (Physics, Chemistry na Advanced Mathematics) na waliopata Marks za juu kabisaa.

Baada ya Miaka 4 kupita, ndipo July 2017, T.O Elias Kihombo alifanikiwa kumaliza Degree yake ya kwanza (Bachelor of Science In Petroleum Engineering) na mnamo November 2017 Elias Kihombo alifanikiwa kutunukiwa Degree yake ya kwanza akiwa ndani ya University of Dar Es salaam baada ya Miaka 11 kupita.

Hapa imepita Miaka mingi tangia, 2006 Engineer Elias Kihombo alivyotangazwa kuwa Tanzania One lakini ilimchukua Miaka mingine 11 mpaka kutunukiwa Degree yake ya kwanza. Huyu ndiye The Best Of The Best, Eng Elias Kihombo Mwanafunzi aliyepata kutokea Tanzania kuwa na uwezo mkubwa darasani. Nlsikia jinsi ambayo eng elias alikuwa na kipaji cha kufundisha kuanzia asubuhi mpk jioni na kusitokee hata swali moja liliomtolea nje .siku ambayo alisolve maswali kuanzia saa moja hadi saa nne hakuna swali lililo msumbua saa tano hadi saa nane hakuna swali lililo msumbua saa tisa hadi saa kum na mbili hakukua na swali lililo msumbua tuliendelea na mwendo huo kwa muda wa wiki moja . Itabaki historia ktk maisha ya wanafunzi na elimu ya Tanzania kwa ujumla. Lakin leo tunavyozungumza elias kihombo hatunaye tena duniani .inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili ................. Tunahitaji kuwa Karbu na Mungu wakati wote kwan safari yetu ipo mikononi mwake .......bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, , !!!

I will never Forget you My brother

You will be missed forever and always. The beautiful moments you shared with me will always speak of a great person that you were. Rest in peace up in the heaven[emoji257][emoji3590]]View attachment 1630262
View attachment 1630283
Mara ya kwanza na ya mwisho kumuona ilikuwa 2018 Tosamaganga shule.Ajabu baadhi ya wanafunzi walianza kunisingizia kwamba mi ndio T.O.Nadhani walijudge kitabu kwa kuangalia cover.
 
RIP Elias....Lakini hapa pa ' waliomzidi akili ini Mungu na Mzungu tu'...nadhani alikuwa amepotoka kidogo. Na waliokuwa Wakimfundisha?[emoji848][emoji848]
 
He was telling me that he had a vision ya kuanzsha spi Schools

Kids wawe wanafundshwa science subjects since young

Kuna kampuni moja pia ya kuchapisha vitabu ipo Us he was asking about it a lot achapishe vitabu vyake huko meaning vitabu vyake viwe recognized world wide anyway naomba uzima tu ntajarbu kufanya hiyo kazi

Kaacha mtoto mmoja
Kitabu chako nani anunue?
 
Hiyo phy mm nilipata B, paper 2 instructions zilikuwa tofauti na ilivyozoeleka wengi tulikuwa hatusomi instructions za kila sections kumbe ilipaswa tujibu maswali yote 10 badala ya 6.. aise nimekuja kugutuka zimebaki dkk 15 jasho lilinitoka kinoma.. jamaa waliopata 1.3 mwaka ule ilikuwa komesha Mungu ampumzishe kwa amani
Sasa kwaiyo unataka uwe kiombo na wewe au?
 
Ok he was talking about relativity the way I heard it. Inawezekana alisoma mimi sikusoma kipengele hiko bado inabaki kua alikua mkaririji mzuri. I know our education system ni kuzalisha watu wenye uwezo wa kukariri maswali, formulas na definition
Acha wivu,wewe mbona ulishindwa kukariri ukawa T.O
 
Nenda kwenye kitabu cha waliohitimu 2013 if you can see his name, by the way alikuwa anapuuzia sana shule, tulikuwa nae field TPDC akiwa alihudhuria only one week, prof. Temu amekuja kutembelea he was explaining the thing that he don know, superviser alikuwa ndugu yake alimkataa pale pale kuwa alikuwa hahudhurii, sina uhakika kama ni hiki kilichomtoa chuo, baada ya hapo kuna shule alienda kufundisha kuna uzi hummi u unaelezea tafuta
Mimi pia nimefanya field TPDC na nimeenda wiki moja tu,TPDC people they are selfish you go there you get nothing in terms of knowledge or money kwendraaaaa
 
Back
Top Bottom