HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Kukarirri nacho kipajiiiiHivi kuna mtu anaeweza kusoma bila kukariri....?
Sio wote wanaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukarirri nacho kipajiiiiHivi kuna mtu anaeweza kusoma bila kukariri....?
Pole mkuuHaya sawa
Mani naona unapenda league ... And I don't give a shit about it
Natype hii habari nmetoka operation room kufanya Minimally invasive endonasal endoscopic surgery
Hafu aah okay sawa usiku mwema
Aliona mbali ambako wengi hawaoni,Mungu akutangulie Mkuu utimize alichokikusudia kwa dunia,he is still a living legacy kwa aliyoyafanya,SPI brought me where iam today,and he was a real blessing,He was telling me that he had a vision ya kuanzsha spi Schools
Kids wawe wanafundshwa science subjects since young
Kuna kampuni moja pia ya kuchapisha vitabu ipo Us he was asking about it a lot achapishe vitabu vyake huko meaning vitabu vyake viwe recognized world wide anyway naomba uzima tu ntajarbu kufanya hiyo kazi
Kaacha mtoto mmoja
Safi SanaAliona mbali ambako wengi hawaoni,Mungu akutangulie Mkuu utimize alichokikusudia kwa dunia,he is still a living legacy kwa aliyoyafanya,SPI brought me where iam today,and he was a real blessing,
Tunamshukru Mungu kwa maisha ya Eng Kihombo
RIP Genius
Chief watu wamefiwa wewe unaleta umwamba wa kitoto.Aisee so you call him genius for A level physics?? Kukariri tu hakuna chochote watakachofanya after hapo ndio maaana hakuna mchango wowowte kwenye either technology or whatever kutoka kwa hao the so called Tanzania one
Out of topic !! Wanaosema tunakariri wako sawa kabisa , wenzetu huko ulaya Kila Siku wanafanya innovations mpya kwa kutumia principle walizozielewa kwenye masomo mtu Kama huyu TO, alitakiwa awe kwenye makampuni makubwa ya uvumbuzi akiapply elimu yake , elon musk wa tesla car Wala hakuwa na passmarks kubwa darasani lakini angalia mambo yake .Wakati nafika advance tanga tech story za huyu mtu nilizikuta,,,kuna darasa moja kati ya madarasa ya advance kuna maneno yameandikwa nanukuu"elias mtu na nusu" nazani wahusika waliandika katika kuonesha kumkubali jamaa ,story zinasema zaidi vile vitabu ambavyo wanafunzi wengi huvikwepa yeye ndo alipenda kuvitumia mfano nelkon,roger,UP(university physics) kwa upande wa physics,,waliosoma physics advanced level watakuwa wanaelewa zaidi hapa,,ndo mana mtu anaesema jamaa alikuwa anakariri namshangaaaa unakariri physics utakariri vingapi????nazani alikuwa ni gifted(wakati mwingine kumkubali mtu hakukupunguzii kitu sio kila ktu ni kupinga) kwa niaba ya watoto wa tanga tech ,,niseme REST IN PEACE MTU NA NUSU,,tusisahau kuwa karibu na muumba wetu pamoja na vyote tunavofanya,duniani mapito,,ulale mahali unapostahili,AMEN
tupe location za msiba tukamzike mwambaSafi Sana
Kitu kikubwa ambacho watu hawajui about kihombo is that his father alkua Prof pale mzumbe uni
Jamaa sio kwamba alkua na njaa kiasi hcho , what I am trying to say hata vitabu mostly alikua anaandika for the passion ya kusaidia watu
His long life dream
Anyway mwanangu ameondoka nmeumia Sana aisee ....
Nmewaza Sana aisee ... Ngoja nipumzike Sasa
achana naye kilaza huyo usikute alipata F ya math na physics , anahisi physics ni ndala kila mtu anavaaChief watu wamefiwa wewe unaleta umwamba wa kitoto.
Sisi Waswahili huwa tunasema hivi "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".
Kuvumbua jambo au kugundua jambo si ishara ya mtu kuwa na akili, maana haya mambo watu hutunukiwa tu vipawa, ndiyo maana hukuti mtu anajua kila kitu.
Kama kukariri ni kazi ndogo ungekuwa wewe T. O.
Nahitimisha kwa kusema ya kuwa, kuwa mgunduzi au kuwa T. O si kipimo cha mtu kuwa na akili sana, sababu viwili hivyo havihusiani na akili.
Pili, ulipo sema ya kuwa Tanzania kuna watu wawili tu wenye akili, niliona ya kuwa hujui maana ya neno AKILI.
Hakika hali wa shani, kila nafsi itaonja umauti.
We jamaa ungekua karibu ningekukaanga makofiHuko kizimu kuna project gani? Mbona miamba inaelekea huko,RIP kwa mwamba
Kuna hindrace factors nyingi katika nchi zetu mtu kuweza kutumia uwezo/maarifa na ujuzi wake. Kuna jamaa alikuwa TO 2001 O-level akapata ufadhili kwenda Marekani mpk sasa wamarekani wanaye... Hatuna systems za kuwaweka watu kama hawa mahala pa kuwawezesha kufanya tafiti za kisayansi, na hali pia za maisha yake binafsi na wanaomzunguka pia hufanya mtu awaze mambo rahisi ya kumpatia pesa ndani ya muda mfupi kama hivyo kuishia kufundisha tuitions nk.. jiulize hao maTO wote nchi imefanya nn walau kutumia vipaji vya kuletea tija taifa.. na je taifa linainvest vp katika maswala ya tafiti za kisayansi,Aisee so you call him genius for A level physics?? Kukariri tu hakuna chochote watakachofanya after hapo ndio maaana hakuna mchango wowowte kwenye either technology or whatever kutoka kwa hao the so called Tanzania one
Inaumiza sana,Pole brouh Mungu akutie nguvu Tumuombee Mungu amlaze mahali pema,The man had exhausted all of his own and he is a legend for sure.Safi Sana
Kitu kikubwa ambacho watu hawajui about kihombo is that his father alkua Prof pale mzumbe uni
Jamaa sio kwamba alkua na njaa kiasi hcho , what I am trying to say hata vitabu mostly alikua anaandika for the passion ya kusaidia watu
His long life dream
Anyway mwanangu ameondoka nmeumia Sana aisee ....
Nmewaza Sana aisee ... Ngoja nipumzike Sasa
Kijana unaandika mambo bila kufikiria kabisa, unajua kama kuvumbua kitu si lazima mpaka uwe umesoma na ukakaa darasani. Rejea Historia ya wavumbuzi wengi wa masuala ya Kisayansi.So does you.
Kuna watu smart wengi nchini ila mfumo wetu umetujenga tusome tusifeli ili tupate kazi. We are just studying for the Job.. not for making innovation and invention..
Ndio maana nasema jamaa nae alikua muhanga vile vile..
Huyo dogo hajui maana ya kusoma, amekalia kutumia neno "Kukariri" kama ndiyi msingi wa hoja wake. Ukiwa mjuaji sana ujue ndiyo unazidi kuwa mjinga.Hivi kuna mtu anaeweza kusoma bila kukariri....?
Ila nyinyi madogo mbona vilaza sana, muache kukurupuka, hujui kama 98% ni 58.8/60 ? Sasa shida iko wapi hapo ?Test ina Mark's 100?
Muogope mungu UE. tu ina 60 bro au zamani sio kama sasa
Ni kweli unauliza ili upate taarifa ila the way unavyo uliza naona Kama unatumia maneno makali na yenye kuudhi ndani yake jaribu kuweka lugha ambayo haita mkwaza mtu mwingine hasa yule mtoa taarifaYeah hizi ndio habari sasa... Unajifanya unamjua ww tu...huyo mtu alikuwa muhimu kuliko k wenu... Ukitoa habari unatoa za kueleweka ... Cause of death, immediately
Or chronic, when and where.... Sasa unaona hilo gazeti lako liko sawa?
Inasikitisha sana mkuu.Bad enough he 'll only be burried with Pride and A short lived History which will also perish as soon as his collegues Perish.
lakini ndio Tanzania Yetu where the smart minds only write books and imagine things.