TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Kwa kweli umemuenzi huyu ndugu kwa vitendo, angeona haya amgeshukuru!!!

Mungu ashughulike naye sawa sawa na yeye alivyoshugulika na Mungu katika uhai wake!

Pole sana!
Kihombo na ma akili yake yote

Alkua different Sana from watu walikua na uwezo Kama wewe , you know watu wengi Kama yeye hubadlika kuwa atheist Ila kihombo noo

One day tulkua tunaongelea Jinsi quantum physics itakavyotumika mbinguni , time dilations etc...

He was saying God was the father of quantum physics
 
Aisee haya maisha wakati mwingine inasikitisha ni kama mshumaa unawaka unazima
 
Kihombo na ma akili yake yote

Alkua different Sana from watu walikua na uwezo Kama wewe , you know watu wengi Kama yeye hubadlika kuwa atheist Ila kihombo noo

One day tulkua tunaongelea Jinsi quantum physics itakavyotumika mbinguni , time dilations etc...

He was saying God was the father of qu
dah.....umenipa attention kidogo hapa bro, vunjavunja kidogo, hata tuenjoy uwepo wake wa faida
 
Kopite nawe acha sifa. Kwani kakuuliza umetoka kufanya nini?

We know you are a doctor na now unasomea specialization.
Ntaacha sifa mkuu

Ni huyo mjinga alinikera tu Ani

Asante kwa ushauri [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi wa huzuni ila mlishaanza kunichekesha
 
Ni huyu huyu aliyefunguliwa uzi humu wa kumsifu au Mwingine!!? انا لله و انا اليه الراخعون
 
Back
Top Bottom