Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kusoma pcm mkuu maana sio mchezoKwa aliyesoma A level Physics na Advanced Mathematics atakubaliana na mimi kuwa physics ni ngumu kuliko maths. Sisi wa kukariri tulipata shida sana[emoji23]
Pole kwa wafiwa wote na wale mliobahatisha kuwa nae.
Amefundisha watu ambao Sasa hivi NI madaktari na ma ma nurseNdio unakalili sasa kaitendea nn physics kama alikua anaijua vizuri yani kaleta nn kipya kama sio kukalili
Sio kukalili NI kukaririNdio unakalili sasa kaitendea nn physics kama alikua anaijua vizuri yani kaleta nn kipya kama sio kukalili
Sijui kama umejibu ulichoulizwa.Amefundisha watu ambao Sasa hivi NI madaktari na ma ma nurse
Wengine ma engineer sehemu mbalimbali Kama vile ujenzi madi no
Pia wengine wamefundishwa nae Sasa hv NI mafndi umeme , madereva na wanapaka rangi nyumba na magari hiZo field zote na nyingine nyingi NI physics
Sasa wewe ulitaka aitendee Nini physics labda
Amefanya kkikubwa Sana
Kiyendo Cha ku transfer knowlegde aliyonayo kwenda kwa Mtu mwingine unafikiri NI Jambo dogo
Acha ujinga wewe
Ni ngumu mtu kukuelewa mkuu.Ndio unakalili sasa kaitendea nn physics kama alikua anaijua vizuri yani kaleta nn kipya kama sio kukalili
Kanikera Sana
Broh asante SanaBro pole na msiba.
On the other hand, jifunze jinsi ya kudili na critics na bullies wa mitandaoni, especially wale ambao furaha yao ni kupenda kukera wenzao. You can ignore them or respond casually.
MmojaKaacha watoto wangapi? Maana elimu kaenda nayo, cha msingi katuachia vinasaba vyake?
Ulitaka njibu vpSio kukalili NI kukariri