Dah! I'm shocked! I know the guy, tulipiga wote Tosa Boys lakini alikuwa amenitangulia darasa, nakumbuka the day alipotangazwa kuwa T.O wote tulikuwa shocked pale kiumeni kwa sababu kwanza alikuwa siyo mtu wa kuonekana class wala mazingira ya shule, muda mwingi nasikia alikuwa akienda kujichimbia Mzumbe, those days alikuwa na afro flani hivi la kibabe kichwani, kila mtu akawa anashangaa imekuwaje jamaa atoboe kuwa TO wakati class anadoji kinyama?
Alikuwa mtu wa low profile mno, akiwepo skuli mchana anapiga mbonji usiku anatoboa akipiga msuli. That night alipotangazwa kuwa TO, our Headmaster by then (Charwe- Rest in Peace), alikuwa excited mno, akatutangazia huku akiwa mitungi kwamba tutapiga kitu cha nyali (wali) wiki nzima mfululizo kusherekea mafanikio ya Mwamba Elias! So sad. His legacy will live!