Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
mmoja MkuuKaacha watoto wangapi? Maana elimu kaenda nayo, cha msingi katuachia vinasaba vyake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmoja MkuuKaacha watoto wangapi? Maana elimu kaenda nayo, cha msingi katuachia vinasaba vyake?
Dah , kaka bahati mbaya sikusoma engineering au physics chuo, nafiki unafahamu watu walio soma (PCB) huwa tunalenganga nini. but hadi leo physics ni my passionVipi ajamlisisha mtu yoyote ujuzi. Au wote mlikuwa mnashangaa tu anapofundisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]Vipi ajamlisisha mtu yoyote ujuzi. Au wote mlikuwa mnashangaa tu anapofundisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu.Apumzike kwa amani huyu mhandisi, poleni wafiwa.
Hapo pia nimeona the tragedy of academic hyper-performance inayoambatana na arrogance. Mnisamehe sana kwa maoni yangu haya.
Kwa kutazama fates za hawa hyper-performers hasa wa O-level na A-level, naona bora mtoto apate passes za kawaida tu zinazotosha kwenda chuo na kuendelea na maisha, kwani hizi za kuzidi sana zinaleta pia mambo mengine magumu ambayo mtoto anashindwa kukabiliana nayo.
Usishangae kusikia kuwa hao wenzake walioorodheshwa pamoja hapo kwenye jedwali la matokeo sasa hivi wana maisha mazuri tu, wana makazi yao, familia zao, vipato vya uhakika na wanafurahia maisha, lakini mwenzao huyo waliyekuwa wakimsifu sana na hata kumuonea wivu ameishia maporomokoni.
Mnajua hawa "Tanzania-One" wanakoishia baada ya misifa hiyo? Tuwaombee sana hawa watoto na tuwasaidie sana.
impact yake ni kumbwa kuliko others TO labla TO mwingine ambaye ana impacts ni @joelnanauka.Unchosema ni sawa...hivyo vigezo vyote ulivyotoa ni sahihi
Ila kwa hili,nani kafanya research ya kweli kwa vigezo vyote hivyo kutuhakikishia Kahombo ndio supreme among all these years mzee?
Hakuna aliefanya!
Kilichofanyika ni maoni binafsi ya mtu kwendana na hisia zake ila hakuna concrete stats to back it up!
Sasa tubaki kwenye personal opinions tu mzee!
Sasa kama hizo akili umekaa nazo nyumbani kwenu jamii itakujua vipi kama una akili zaidi? Kihombo katunga vitabu, kafundisha vijana na ndio wanashuhudia kuwa alikuwa na akili zaidi.Cha ajabu kila mwaka kuna kijana ni Tanzania One mwenye akili kama yeye au zaidi
Hii ku-generalize kwamba ni top human being throughout miaka yote hii sijui labda umetumia measurement gani hasa?
Kwani Chegere alisoma physics? Si nasikia alisoma EGMMartin Chegere alipata 99.99
Huyo ni wivu tu unamsumbua na pia yawezekana amesoma masomo ya kukariri majibu kama historia. Physics hususan ya A- level huwezi kutoboa kwa kukariri.Msamehe bure huyo anaesema jamAA alikuwa anakariri,,,,mtu na aina hiyo mnakuwa mnaongea lugha tofauti kwa hiyo kuelewana ni ngumu sana,,mtu aliyesoma physics advance,hawezi sema jamaa alikuwa anakariri kwa sababu anafahamu nature yA Hayo masomo yalivyo,,,
Sasa mbona alifeli chuo ?Kihombo katunga vitabu, kafundisha vijana na ndio wanashuhudia kuwa alikuwa na akili zaidi.
Na ndiyo maana nikataja ubora wa mitihani na siyo ugumu wa mitihani.elimu ya sasa ipo katika mazingira mepesi sana ukilinganisha na miaka ya 2012 kurudi nyuma...
maana hapo ndipo elimu na mitaala ya elimu ilianza kuchezewa hovyo hadi sasa...
so huwezi linganisha T.O wa mwaka 2000 na wa sasa 2019 ama 2020...
Kwanini niendelee kwenda na ww,Aisee
Ulivyotoa vyote ni maoni binafsi unavyoona binafsi yako,hakuna concrete stats!
Nanauka?Kwavile unamuona Youtube na kwenye maradio anaongea kama public speaker sio?
Umeona where you are going?
Ambao hujawaona youtube hao hawana impact sio?
Waliopo Microsoft,NASA,LinkedIN,Tesla,etc,hao hawana impact sio?
Walioko Muhimbili wanapasua ubongo za watu kuokoa maisha wao hawana impact sababu sio public speakers Youtube?
Kwahiyo marehemu Kahombo ni bora zaidi na alikua na impact kubwa zaidi hapa duniani zaidi ya maTO wote sababu tu alikua anafundisha Tuition ya Physics?
I know where you are going bro,siwezi kwenda wewe,nenda mwenyewe!
Kwa hiyo kufeli chuo ndio kutokuwa na akili?Sasa mbona alifeli chuo ?
Alifeli au ali-Disco?Sasa mbona alifeli chuo ?
wewe ni kilaza sibishani nawewe husikute hata kitabu ukiwekewa, hutoelewa....Mkuu
Hapa duniani mwenye impact ni mfundisha Tuition ya Physics tu?
Marehemu alitunga kitabu gani?Maana kuna tabia ya watu kutamka kitu tu akitegemea tutaamini akisemacho kama msahafu...Weka serial number ya kitabu chake hapa tu verify,kwasababu I know ni uongo mtakatifu!
Au unasemea madesa yale ya O'Level ya Jiandae?Au collection ya Solved Papers?Hivyo si vitabu mkuu
Ni solved past papers binded kwa stepplers!
Tuna maTO wapo Muhimbili wanafanya complex suggeries...Tunao maTO ni waaalimu vyuo mbalimbali duniani...
Tuna maTO wapo Google,Microsoft,NASA,LinkedIN,etc...kwavile huwaoni Youtube au Clouds FM kama public speakers wa mahusiano basi hawana impact???????
Relax bwana
Kaacha mtoto mmoja
Leta uzi wako tukukasirikia ukiwepoTAFUTENI ''A'' ZA GEOGRAPHY 2006. ZINAHESABIKA NAMI NILIKUA MMOJA WAO.
Duuuh kama kweli alisema hivyo aliingiwa na kiburi maridhawa!Elimu ya bongo na wasomi wetu inatia huruma sana. Kama huyu ndo alifananishwa na Einstein basi mie ndio Tesla😀😀 Huyu jamaa kwa nilivyokuwa naona approach zake za kusolve maswali sidhan kama mitihani ya olympiad angepewa angetusua hata 40%
Anyway, aliwahi kuja pale mzumbe nikiwa A-level akasema kwamba Yeye na shetani wakikaa wakatunga swali la physics basi mungu hawezi solve(hii ni sacrilege kubwa sana).
R.I.P Kihombo, you'll be remembered