TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Jamaa alitufundisha organic chemistry 2007 pale kibaha secondary. Alikuwa bingwa wa 'kubeba' (kukariri) maana alikuwa anashusha ubaoni notisi kama zilivyo kwenye madaftari.

We'll remember you.
 
RIP muddy physics ( huyu mwamba alikua anamponda sana mgote pale tution)
 
Minaki idumu,Chungu adumu nakumbuka Minaki University
 
Shida ya bongo watu kama hawa mara nyingi wanawapigwa ndele na ndugu zao au watu wao wa karibu, kiukweli ni kwamba wengii sana hawatoboi.

Sababu kuu hatuna guidance nzuri za kifamilia.. huyu jamaa angepata malezi na usimamizi kama watoto wa kihindi na ki arabu angefika mbali sana na physics yake..

Jamaa alishika shika vihela na kupata kajina kakubwa mapema .. akawa mtu wa mademu sana..

Kipindi anaingia udsm 2006 first year yeye ndiye alikuwa mwaka wa kwanza maarufu kuliko wote udsm kwa mwaka wake... akiwa mwaka wa kwanza tu udsm akawa anaitwa shule mbali mbali na tution centre mbali mbali kwenda kufundisha physics na kusolve maswali. Huko akawa anapata vihela hela vingi tofauti na boom.. hivyo vihela na jina lake akawa anagonga sana mademu.. inasemekana akaja akapata moto aka miwaya
 
[emoji3][emoji3] alaf mtu anakimbilia et alirogwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chupi hazijawahi kumuacha mtu salama

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
aisee mzee huyu mwamba alikua balaa sisi tulokua tunasoma mzumbe sec tunamuelewa..kwann tuition yake aliita mzumbe motto? watu hawaelewi kuhusu hilo.. jamaa alisoka tosa why aliita tuition yake mzumbe motto??? alikua anapenda sana shule ya mzumbe asome masomo yake advance sasa hakupata nafasi...ndo mana akarudi zake Tossa boys akiwa na hasira ya kuwa bora kuliko wote Tanzania...kama hasira za kutokuchaguliwa shule bora ya vipaji maalumu Mzumbe sec school .na alifanikiwa kuwa bora TO kutokea Tosamaganga...Mzumbe inapendwa bwana..kuna raha yake kusoma pale .unapewa heshima na attention kila unapoenda wanajua mtu anajielewa huyu.. !! DETERMINATION IS OUR MOTTO...daima mbele nyuma mwiko
 
Tunaita mikate PCB ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…