MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Yah mitihani yote ya baraza la mitihani inakuwa katika % starting from 0-100. Na kila range fulani ya hiyo % kuna grade A,B,C n so on. Kinachofanyika kwenye yale matokeo yanayotolewa katika public hiyo % huwa haiwi puplished ni grades ndizo wewe unaweza ona but if u have doubt na matokeo yako ukifika NECTA utaonyeshwa na hiyo % uliyopata. Katika kuselect best student inabase kwenye hiyo % n not grades only, bcoz mnaweza pata wote A' s but kinachoweza kuwatofautisha ni average % katika kila somo, thats y huwa unaona kuna top 10. Kuna mwaka miamba 3 hivi ilifungana hata hizo percentage wakapewa mitihani upya mpk the best akapatikana.Elimu ya ‘advance’ ndo elimu gani hiyo?
Na hiyo 98% ni ya shuleni au ya baraza la mitihani?
Kama ni ya baraza la mitihani, siku hizi wameanza kuweka mpaka viwango vya asilimia kwenye matokeo?
Coming back na concern yako ya Advanced lazima uelewe matumizi ya neno katika mada husika kama umeshindwa kuelewa kwamba katika mfumo wa elimu ya TZ "formal education" tuna primary education ambayo ni std 1-7 (7yrs), tuna ordinary secondary education form 1-4 (4years) tuna advanced secondary education form 5-6 (2yrs) then juu ya hizi unaweza chepuka kwenda katika elimu zikupazo ujuzi wa kazi hapa utakutana na certificates, diploma na bachelor degrees. Kutotambua hili nadiriki kusema wewe ni zero brain.
Hivyo basi matokeo ya TO wa mwaka 2006 yalisoma masomo yote A's na zote zikiwa katika average isiyopungua 97 %. Hiyo % ni marks out of 100.
Uwepo wa top 10, kwa wanafunzi wa ujumla, wa kike, shule bora n.k ni njia ya kufanya ufundishaji na bidii ya wanafunzi kuongezeka & kutoa motisha ili kuwafanya waweze kuelewa kinachopaswa kwa manufaa yao na nchi kiujumla kupitia maarifa watakayopata.
Asante,