TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Elimu ya ‘advance’ ndo elimu gani hiyo?

Na hiyo 98% ni ya shuleni au ya baraza la mitihani?

Kama ni ya baraza la mitihani, siku hizi wameanza kuweka mpaka viwango vya asilimia kwenye matokeo?
Yah mitihani yote ya baraza la mitihani inakuwa katika % starting from 0-100. Na kila range fulani ya hiyo % kuna grade A,B,C n so on. Kinachofanyika kwenye yale matokeo yanayotolewa katika public hiyo % huwa haiwi puplished ni grades ndizo wewe unaweza ona but if u have doubt na matokeo yako ukifika NECTA utaonyeshwa na hiyo % uliyopata. Katika kuselect best student inabase kwenye hiyo % n not grades only, bcoz mnaweza pata wote A' s but kinachoweza kuwatofautisha ni average % katika kila somo, thats y huwa unaona kuna top 10. Kuna mwaka miamba 3 hivi ilifungana hata hizo percentage wakapewa mitihani upya mpk the best akapatikana.

Coming back na concern yako ya Advanced lazima uelewe matumizi ya neno katika mada husika kama umeshindwa kuelewa kwamba katika mfumo wa elimu ya TZ "formal education" tuna primary education ambayo ni std 1-7 (7yrs), tuna ordinary secondary education form 1-4 (4years) tuna advanced secondary education form 5-6 (2yrs) then juu ya hizi unaweza chepuka kwenda katika elimu zikupazo ujuzi wa kazi hapa utakutana na certificates, diploma na bachelor degrees. Kutotambua hili nadiriki kusema wewe ni zero brain.

Hivyo basi matokeo ya TO wa mwaka 2006 yalisoma masomo yote A's na zote zikiwa katika average isiyopungua 97 %. Hiyo % ni marks out of 100.

Uwepo wa top 10, kwa wanafunzi wa ujumla, wa kike, shule bora n.k ni njia ya kufanya ufundishaji na bidii ya wanafunzi kuongezeka & kutoa motisha ili kuwafanya waweze kuelewa kinachopaswa kwa manufaa yao na nchi kiujumla kupitia maarifa watakayopata.

Asante,
 
Umemwelewa hoja yake ya "advanced" kweli? Maana maelezo yako yanaweza kuwa mazuri ila yasijibu swali lake.
 
Ila ni ngumu sana kupata A ya hesabu halafu masomo yote mengine upate F, hata physics na chemistry!!!!!

Mimi mwenyewe nilikuwa Maths solver sana, masomo mengine yalikuwa msuli pepa tu, ila niliyapiga vilivyo

Nb
Mathematics is the roots of all subjects

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Pamoja na kupata A ya hesabu tena comb kama EGM lakini mpaka leo unatumia Tecno.. Pole sana..
 
Kama halijajibiwa, simple n clear respond to it, umueleweshe. alipaswa aulize zaidi yeye si wewe. Si mashindano haya na si ligi..
Umeshindwa kabisa kuwa muungwana, aisee! Ungejibu tu swali hilo jepesi sana ungekuwa umeokoa muda & mambo mengi sana. Sidhani kama umefuatilia hapo juu maana nimetoa maelezo yangu. Nahisi kabisa hujamwelewa jamaa!
 
Mkuu hii tecno nilinunua 2015, kwenye hiyo EGM hujaelewa nin???

E ni Economics.
Expected General Manager unatumia Tecno?? Tena ulipata "A" ya "Manager" yaani Mathematics 🤣🤣🤣🤣

Tatizo JF watu mmezoea kamba sana.. Mkuu kama kweli hayo yalikuwa matokeo yako then ukaenda UDSM kusoma Accounts au Economics leo hii ungekuwa na CPA au Senior Economist flani pale BOT au Ministry of Finance na ungekuwa kwenye iPhone 12 pro max au hata iPhone 11..

Acheni kamba vijana...🤣🤣
 
Expected General Manager unatumia Tecno?? Tena ulipata "A" ya "Manager" yaani Mathematics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acheni kamba vijana...[emoji1787][emoji1787]
We bwana mdogo upo kizazi cha show off, kutumia pro max hakujustify income level ya mtu,

Kila mtu na preference zake, mimi si mpenzi sana wa fasheni za simu.

Hii ni ya dharula tu. Natumia sana simu ndogo kwa mawasiliano, kwa internet natumia computer.

Nb.

Kupata A hata CPA, haku-guarantee kupata kazi nzuri.
Hata sasa kuna A nyingi kitaa
 
Hii ni ya dharula tu. Natumia sana simu ndogo kwa mawasiliano, kwa internet natumia computer
Hahahaha sawa mwalimu wa tuition..

Ila sijawahi muona mtu mwenye hela akatumia Tecno.. 🤣🤣🤣🤣
 
Expected General Manager unatumia Tecno?? Tena ulipata "A" ya "Manager" yaani Mathematics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo JF watu mmezoea kamba sana.. Mkuu kama kweli hayo yalikuwa matokeo yako then ukaenda UDSM kusoma Accounts au Economics leo hii ungekuwa na CPA au Senior Economist flani pale BOT au Ministry of Finance na ungekuwa kwenye iPhone 12 pro max au hata iPhone 11..

Acheni kamba vijana...[emoji1787][emoji1787]
Duuh kwamba kutumia simu kubwa ndo kuonyesha uwezo wa mtu

Hee hatari Sana

Na sisi tunaopenda kuishi ki local kwenye hii modern world

Kuna muda nlpotea hapa Jf nlkua zangu na button phone smartphone nkaachana nayo kwa muda

Aisee huu Uzi bhana [emoji38][emoji38]
 
Expected General Manager unatumia Tecno?? Tena ulipata "A" ya "Manager" yaani Mathematics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo JF watu mmezoea kamba sana.. Mkuu kama kweli hayo yalikuwa matokeo yako then ukaenda UDSM kusoma Accounts au Economics leo hii ungekuwa na CPA au Senior Economist flani pale BOT au Ministry of Finance na ungekuwa kwenye iPhone 12 pro max au hata iPhone 11..

Acheni kamba vijana...[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo iPhone unaiona ndo kila kitu
Unadhani wote wanapaparika nazo?
Acha mawazo ya kilimbukeni.
 
We bwana mdogo upo kizazi cha show off, kutumia pro max hakujustify income level ya mtu,

Kila mtu na preference zake, mimi si mpenzi sana wa fasheni za simu.

Hii ni ya dharula tu. Natumia sana simu ndogo kwa mawasiliano, kwa internet natumia computer.

Nb.

Kupata A hata CPA, haku-guarantee kupata kazi nzuri.
Hata sasa kuna A nyingi kitaa
Kwani ukitumia Tecno Kuna Shida gani??

Kuna watu ulimbukeni unawasumbua.
 
My simple (and humble) question: Je umeelewa mantiki ya swali au hoja yake?
Yaani we mzito sana kuelewa sasa unataka tuanze tena kazi ya kufafanua hapa utofauti kati ya Ordinaly na Advanced/ levels of education.

Try to be serious aise ama wewe una muda wa kukaa sana JF kupitia kila comment.. mm sina huo muda
 
Back
Top Bottom