Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

A move on kwani hela ni zake sasa? Huko alipokuwa anazichota ndio mirija ishakata sasa[emoji28] zile milion 10/10 za wasafi kwa mwaka tu zinawapeleka dubai na chenchi inabakia.

Sasa aanze kuishi kwa biashara zake za makeups na hivyo bar ishavunjwa show itakuwa kali! Msichokielewa wanawake wengi wafanyabiashara wanaojiita wapambanaji wanaishi kwa support za wanaume tu[emoji28] ila impression inakuja kuwa eti ni biashara ndio inalipa!
Ma role model hao!
Kweli katika mafanikio ya kila mtu kuna siri nyuma ake...ukiacha na kufanya kazi kwa bidii.
 
Nafikiri kuna terms walikubaliana mwanzoni na huyo baba mtoto wake ambazo aliona hazitakuja kumbana au kumsumbua baadae
Mali ya mtu...
Hata kama akisingizia kwa jili ya mtoto mzazi yupo hai.
Unawekezaje na kubweteka eneo sio lako kihalali
 
A move on kwani hela ni zake sasa? Huko alipokuwa anazichota ndio mirija ishakata sasa[emoji28] zile milion 10/10 za wasafi kwa mwaka tu zinawapeleka dubai na chenchi inabakia.

Sasa aanze kuishi kwa biashara zake za makeups na hivyo bar ishavunjwa show itakuwa kali! Msichokielewa wanawake wengi wafanyabiashara wanaojiita wapambanaji wanaishi kwa support za wanaume tu[emoji28] ila impression inakuja kuwa eti ni biashara ndio inalipa!

Aisee

Usituchanganye huko
 
Msichokielewa wanawake wengi wafanyabiashara wanaojiita wapambanaji wanaishi kwa support za wanaume tu😅 ila impression inakuja kuwa eti ni biashara ndio inalipa!

Unawaongeleaje wale wengine wengi wanaopata support za wanaume na bado hamna wanachokifanya?
 
Back
Top Bottom