Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Ma role model hao!A move on kwani hela ni zake sasa? Huko alipokuwa anazichota ndio mirija ishakata sasa[emoji28] zile milion 10/10 za wasafi kwa mwaka tu zinawapeleka dubai na chenchi inabakia.
Sasa aanze kuishi kwa biashara zake za makeups na hivyo bar ishavunjwa show itakuwa kali! Msichokielewa wanawake wengi wafanyabiashara wanaojiita wapambanaji wanaishi kwa support za wanaume tu[emoji28] ila impression inakuja kuwa eti ni biashara ndio inalipa!
Kweli katika mafanikio ya kila mtu kuna siri nyuma ake...ukiacha na kufanya kazi kwa bidii.