Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

2009-07-13 michelin-man-running.jpg
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Yes ni mjasiriamali mzuri tu, ila kuhusu uzuri mimi namuonaga wa kawaida hasa na zile nywele zake anazopenda kuzitia karikiti naona kawaida. Uwa napenda kwenda kugonga kitimoto na ugali pale mghahawani kwake. Ni mtu poa charming, na mara kadhaa tushagonga kitimoto na bills akazicover yeye. Msingi ni mume wake sijui mzazi mwenzie aliyeko cello kwa msala wa mambo ya fedha na sema tofauti na wanawake wengine kile alichaocha jamaa uraiani kakitumia vizuri kukiendeleza sana.
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Huyo Dem mbona ana ubonge na kitambi kikubwa huo uzuri wake mbona sioni.

Huwa namuona Mara kwa Mara hapo mikocheni Barabara ya kwenda hospital ya Kairuki. Uikutana nae Hana mvuto kivile na Wala huwezi kugeuka Kama ukikutana na zile totozi za 5N au Beach Kidimbwi.
 
Back
Top Bottom