Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hilo orofa walilopanga kina wasafi radio mbao zinasema ni la baba mtoto wake wa kwanza ambae inasemakana yupo ngome anatumikia muda ila mwanae ndio mrithi kwahiyo Resty kama mama yake anasimamia kuchukua kodi. Wasemavyo walimwengu. Pamoja na kuwa wengi wanafake maisha mitandaoni ila anajitahidi sana kutumia fursa kama mwanamama hongera zake.
Mwamba alishatoka siku nying na kashachukua ghorofa lake.
 
Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta.

Ngoja ninyamaze tu ila msipende kutamani sana vya watu msiowajua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yes ni mjasiriamali mzuri tu, ila kuhusu uzuri mimi namuonaga wa kawaida hasa na zile nywele zake anazopenda kuzitia karikiti naona kawaida. Uwa napenda kwenda kugonga kitimoto na ugali pale mghahawani kwake. Ni mtu poa charming, na mara kadhaa tushagonga kitimoto na bills akazicover yeye. Msingi ni mume wake sijui mzazi mwenzie aliyeko cello kwa msala wa mambo ya fedha na sema tofauti na wanawake wengine kile alichaocha jamaa uraiani kakitumia vizuri kukiendeleza sana.
Hivi kafungua nyingine zaidi ya pale oasis?

Au ni pale pale kaboresha, kitambo sijaenda pale

Rest mzuri sura sana na rangi ila umbo mweh mweh, halafu kifupi hataree
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni Nani haswa?
Hiki ni kitendawili ama?
 
Hivi kafungua nyingine zaidi ya pale oasis?

Au ni pale pale kaboresha, kitambo sijaenda pale

Rest mzuri sura sana na rangi ila umbo mweh mweh, halafu kifupi hataree
Mimi nafahamu ya pale pale oasis na mara nyingi weekend ukipita mchana utamkuta yeye na mme wake pia. hata hivyo siyo kuzuri sana ni pa kawaida tu sema basi tu sisi tunafuataga mdudu. Yah mengine ya kawaida siyo mzuri saaaana kihivyo.
 
Kwamba tuwaambie au tuachane nao tuandae nguo za kanisani kesho Jumapili ya tatu ya Majilio!?

Kwako Mwalimu Oddo
Odo unakaribia kumfikia warumi sasa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii speed yako si ya nchi hii.
 
Mimi nafahamu ya pale pale oasis na mara nyingi weekend ukipita mchana utamkuta yeye na mme wake pia. hata hivyo siyo kuzuri sana ni pa kawaida tu sema basi tu sisi tunafuataga mdudu. Yah mengine ya kawaida siyo mzuri saaaana kihivyo.
Aah sio pazuri pale [emoji849]

Sema liko charming sana, hata ofa linatoaga
 
Back
Top Bottom