Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Mmh best huonagi kwake [emoji23][emoji23][emoji16]Kila akianza kukata maunoo na mume wake huku wakijirekodi mi naona mapazia hayo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyooo.. halafu nyumba anayoishi sasa naona siyo kama ile mwanzo..Labda atabadilisha akimaliza mjengo wake ule ulitaka kumtoa roho Rachel.. [emoji28]
 
Sophia house msimsahau.
Yaani huyu alitunyooshaga sana jamani sisi tunakomaa na monocotyledon na kingdom plantae mwenzetu analetwa na kiescudo akifika getini dereva anashuka anakaa kwenye usukani ili mradi tu aonekane anajua kudrive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeee bwana bwana ila.huu mji huu
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni Nani haswa?
Ushamtaja kwa majina full na shhghuli afanyazo unazijua sasa sielewi msingi wa swali lako ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom