Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Sophia house msimsahau.
Yaani huyu alitunyooshaga sana jamani sisi tunakomaa na monocotyledon na kingdom plantae mwenzetu analetwa na kiescudo akifika getini dereva anashuka anakaa kwenye usukani ili mradi tu aonekane anajua kudrive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisoma zanaki?
 
Ila vijana wa kichaga tumekuaje? Tofaut na zamani tuliheshimika kutafuta pesa Leo hii tunaishia kubeba mapochi
Mliambiwa msipende sana pesa mtakuja geuzwa misukule. Sasa hivi hadi vijana wa kipemba wanawashinda hustling, m'mebakia kukalia sifa tu za ooooh wachagga tunajua tafuta pesa.

Ila ukweli mnaongoza kwa umarioo, kuzaa na wanawake hovyo bila kuhudumia na udokozi na utapeli usio na maana maadili yenu yanapotea na wazee wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom