Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

We mwanaume gani mwenye RATIBA zake, uwakili hasa kila siku anapata muda wa kuwa flexible na utalii wa viboko, leo vinyonga, kesho room za kwenye maji ya ya chupa.

Heb watupishe sisi.

Hamna wakili wala bawabu pale.
Ukiendekeza mwanamke especially hawa wanaokuwa na vimiradi na account yenye pesa benki hautaweza kufanya maendeleo yako personal. Wengi wa hawa wanawake anakupa mental retardation uwe retard kiume.

Sasa watoto wa kiume wa kichagga wanapenda sana hii..... Kulelewa wengi ndio maana siku hizi wana maisha ya kindezi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Kweka ni Mmbulu!!?
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni Nani haswa?
Sasa Mbona unamjua tayari Unataka nini zaidi
 
Nampenda sana huyo dada...nilianza kumfuatilia kwa ile account yake ya mwanae wa pili growing hollie ,resty cosmetics badae resty kitchen

Sijui kuhusu maisha yake halisi,lakini ninayoyaona insta yananiinspire sana...ni ile aina ya mwanamke anajua kutafuta na kutumia
Alikuwepo Shamim Mwacha, dada wa kibubu
 
witnessj
Njoo ucheke huku Best.. Kumekucha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiendekeza mwanamke especially hawa wanaokuwa na vimiradi na account yenye pesa benki hautaweza kufanya maendeleo yako personal. Wengi wa hawa wanawake anakupa mental retardation uwe retard kiume.

Sasa watoto wa kiume wa kichagga wanapenda sana hii..... Kulelewa wengi ndio maana siku hizi wana maisha ya kindezi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww ni kabila gani, nakuona una kakisirani na kageneralization flani ka kiduwanzi kwa vijana wa kichaga.
Washakubandua mtungo nn
 
hahahaha

kwa Uchaggani ndio nachojua....ila ina depend na lafudhi unapotoka..kama Marangu kuna variations za "Makisewa" au simply "Kisewa"

Lafudhi zingine ni "Makisewo" au simply "kisewo".

Too much variations.....ila inaweza ikawa totally lugha ingine ikawa na meaning totally tofauti na Kichagga!
Sawa.. Ila kwangu mimi Makiseo haina tafsiri ya maana uliyoisema..
 
Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Resty habari nyingine wewe.

Hehehehe
 
Ukiendekeza mwanamke especially hawa wanaokuwa na vimiradi na account yenye pesa benki hautaweza kufanya maendeleo yako personal. Wengi wa hawa wanawake anakupa mental retardation uwe retard kiume.

Sasa watoto wa kiume wa kichagga wanapenda sana hii..... Kulelewa wengi ndio maana siku hizi wana maisha ya kindezi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashoga ni zaidi ya wengi hii jamii
 
Back
Top Bottom