Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Unamaanisha Kweka?If yes,yy si ndo meneja sasa wa hizo mishemishe huku akiendelea kuufukuzia uwakili.hahahah eti mbeba pochii mwachen Kweka ainjoy matunda ya ndoa bana[emoji23]
Haha ila Kweka alikua anapenda kitonga long time sana...ndio maana amekubali "kuolewa"

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Ewaaa story za skonga mzee machache naye alipita nae. Maisha ya camera toka yuko shule tuliosoma nae hatushangai Kweli maisha bongo nyoso eti resty kawa motivational speaker.
 
Mnakuwa na wanaume loosers.


Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.

Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
Bar si ya resty
 
Mnakuwa na wanaume loosers.


Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.

Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
Ila huyu kweka anazalilisha wachaga kawa ka lijinga kupigwa pigwa mapicha hovyo na kufatana na testy nyuma ka mkia wa mbwa. Dah Mimi naona ha act ka mwanaume resty mwenyewe hu behave ka hamnazo na alihitaji mwanaume timamu wa kumshape aisee
 
Hilo orofa walilopanga kina wasafi radio mbao zinasema ni la baba mtoto wake wa kwanza ambae inasemakana yupo ngome anatumikia muda ila mwanae ndio mrithi kwahiyo Resty kama mama yake anasimamia kuchukua kodi. Wasemavyo walimwengu. Pamoja na kuwa wengi wanafake maisha mitandaoni ila anajitahidi sana kutumia fursa kama mwanamama hongera zake.
"Chechela Segedansi Nondo Gereza Inside Ndichi Ngome Lupango"....Inspector Haroun.

 
Back
Top Bottom