Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Ila huyu kweka anazalilisha wachaga kawa ka lijinga kupigwa pigwa mapicha hovyo na kufatana na testy nyuma ka mkia wa mbwa. Dah Mimi naona ha act ka mwanaume resty mwenyewe hu behave ka hamnazo na alihitaji mwanaume timamu wa kumshape aisee
Imagine mwanaume kama huyo kwenye vikao vya familia kama anaweza kusikilizwa.

Janaume kila mda lipo Instagram linacheka cheka linacheza cheza linabusiwa busiwa.

Fikiria janaume kama hilo labda limetokea tatizo kubwa lenyewe ndo linatakiwa lisimame kama kichwa cha familia.
 
Ila ndio lifestyle walioamua kuishi
 
Sophia house msimsahau.
Yaani huyu alitunyooshaga sana jamani sisi tunakomaa na monocotyledon na kingdom plantae mwenzetu analetwa na kiescudo akifika getini dereva anashuka anakaa kwenye usukani ili mradi tu aonekane anajua kudrive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni nani huyu nilipitwa
 
Yaniiiii hana juu wala chini, mbele na nyuma usiseme
Resty mfanyabiashara sawa.
Na yeye hana schedules.

Mana wakili gani ukimgoogle unakutana na picha za leo saadan, kesho kubeba pochi, keshokitwa anatikisa moet , mwakani anachekelea pumbu za swala.

Weeeeh basi watuhumiwa wake wanafungwa kila siku.
Mana ana vacation 18 kwa mwaka, case reviews anafanya saa ngapi?
Hahahah nimecheka kinoma yani...ila ujue nini, ukiwa huna hela lazma uwe romantic tu amna namna 😂😂😂!
Lisemwalo lipo kwa kweli...
 
Mnakuwa na wanaume loosers.

Mwanaume unakubali kusimamia bar ya mwanaume mwenzako.

Haki mimi ningekuwa mama wa yule Kweka ningepiga ukunga mmoja wa kichaga mpaka akili ingemkaa sawa.
Jamaa akiona hili anaweza kulia walahi😂😂😂
 
Ila huyu kweka anazalilisha wachaga kawa ka lijinga kupigwa pigwa mapicha hovyo na kufatana na testy nyuma ka mkia wa mbwa. Dah Mimi naona ha act ka mwanaume resty mwenyewe hu behave ka hamnazo na alihitaji mwanaume timamu wa kumshape aisee
Jamaa ni romantiki bana ndio maana anazunguka na mama, si mnasemaga mnapendaga mpewe time nyie 😂😂😂!
Mwenzenu anapewa time 24/7 na free photo gallery
 
Back
Top Bottom