Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hahahahah ndio maana tunasemaga ukweli. When a man bursts his ass hawezi kuwa na mda wa babysitting a woman full time.

Yani lazma lawama za bby hana mda na mimi ziwepo tu.[emoji23]! Sasa tukishinda wote full time hela napataje sasa
Umeona sasa[emoji848]

Binafsi mi mwanaume wa kushinda na mimi 24/7 simtaki asilani

Nenda kachacharike hukoo tukutane jioni tusimuliane hustle....uwii ntakukinai asee
 
Mbeba pochi, kurekodi matukio yote ya rest kila siku, kupeleka moto on bed, Basi

Hayo mambo ya kutafuta hela kawaachia nyie mafalaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Dah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama 😂😂😂 mwendo wa full option. Mikamera kila saa 😂 aisee ile michezo siiwezi
 
Hivi Resty anavyopenda mashauzi huyo awe advocate nakuambia angeshatuwekea ofisi na muhuri wa advicate umeshapigwa picha.

Yule Kweka ni mdangaji kama wadangaji wengine wa kiume tofauti yeye ana kibarua cha kudumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hivi Resty anavyopenda mashauzi huyo awe advocate nakuambia angeshatuwekea ofisi na muhuri wa advicate umeshapigwa picha.

Yule Kweka ni mdangaji kama wadangaji wengine wa kiume tofauti yeye ana kibarua cha kudumu.
So mwamba anadanga 😂😂😂 ila ana cheti cha jamhuri ujue
 
Dah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama [emoji23][emoji23][emoji23] mwendo wa full option. Mikamera kila saa [emoji23] aisee ile michezo siiwezi
We acha tu

Ndo maana amu kasema angekuwa mamaake angepiga ukunga mmoja wa kichaga mbona angetafuta kazi kwa fujoo
 
Dah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama 😂😂😂 mwendo wa full option. Mikamera kila saa 😂 aisee ile michezo siiwezi
Yani Kweka kazi yake ni kutafuta DESTINATIONS tu na kumuonesha bebe, bebe angalia yule swala kajikuna

Snowhite amka ukasali mamangu, umbea inakusaidia niiiini nyau weeeewe?
Mxxxxxxxxxie.
 
Muacheni Kweka jomoni

Kulipelekea moto lijimama kama hilo kitandani na likaridhika si kazi ndogo ati[emoji23][emoji23][emoji1787]

Mi kwa hapa namsamehe, kibarua anacho tena si haba
Sema mibonge si inawahi kutepeta 😂😂😂 sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.

Unajikuta unambato 6/7 days in a week ila namuonea huruma mwamba maana siku akichokwa atafedheheshwa sana. Wanawake mnapendaga kweli ila mna ile hali ya kuchokaga mtu mkimzoea sana.
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]

Restuta Bura Kweka

"Bura" ni ukoo wa kabila la Mbulu

"Kweka" Ukoo wa Kichagga.
 
Yani Kweka kazi yake ni kutafuta DESTINATIONS tu na kumuonesha bebe, bebe angalia yule swala kajikuna

Snowhite amka ukasali mamangu, umbea inakusaidia niiiini nyau weeeewe?
Mxxxxxxxxxie.
Yale maisha ya kuuza uhuru aisee, siku umejiskia kubadili mboga ndio siku utatupiwa vifurushi vyako nje😂😂😂!!!

Unaishi on the womans terms and conditions maana ndio ana mzigo. Wacha tu hustle tu hata kwa kuunga unga
 
Hahahah nimecheka kinoma yani...ila ujue nini, ukiwa huna hela lazma uwe romantic tu amna namna 😂😂😂!
Lisemwalo lipo kwa kweli...
Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu

Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao

Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
 
Yale maisha ya kuuza uhuru aisee, siku umejiskia kubadili mboga ndio siku utatupiwa vifurushi vyako nje😂😂😂!!!

Unaishi on the womans terms and conditions maana ndio ana mzigo. Wacha tu hustle tu hata kwa kuunga unga
Chafukeni tu mikono aiseeeh.

Yule msifikiri yanamkuta anayapenda.
Sasa hana namna
 
Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu

Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao

Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
😂😂😂😂😂😂 haijawahi tokea katika life of Chawa!
 
Sema mibonge si inawahi kutepeta [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.

Unajikuta unambato 6/7 days in a week ila namuonea huruma mwamba maana siku akichokwa atafedheheshwa sana. Wanawake mnapendaga kweli ila mna ile hali ya kuchokaga mtu mkimzoea sana.
Very true...

Ndo maana nikakwambia kuwa amini hili ' mwanamke hata awe bilionea vipi, hawezi kumlisha mwanamme miaka yote kama mlivyo nyie wanaume kwetu

Iko siku atachokwa sasa sijui ndo atakumbuka kutafuta kazi na umri umesonga[emoji848][emoji848][emoji849]
 
Weweee mi nakwambia trust me.

Yuko na criteria zote za chawa.
Ye Resty ndo Vunja bei wake
Ile aina ya maisha ina expire date, watoto wanakua there will be a time a man will be elligible to provide in extra. Sasa wewe kila kitu kiko centred kwa mwanamke, miaka yote bar, cosmetics, insurance,fumigation,kitchen n.k

Ipo siku mwanamke ataanza kudai mchango wako kwake hata akupendeje. Ile lust ikiisha the reality hits so badly. Hapo ndio utasimangwa mpaka ujione nnya. Jamaa ameshindwa hata kuomba IST afanye uber
 
Back
Top Bottom