Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Dah kweli, nikionaga mwamba anavyojitahidi kucheza mara anajilazimisha kukumbatia kabati na kulisogeza yote ile njaa tu. No real man wants his ass on cameras all the time.
See.
Mi mume wangu sio tu kupiga nae picha, hats kukupiga picha kiasi kile siwezi.
 
Dah kweli, nikionaga mwamba anavyojitahidi kucheza mara anajilazimisha kukumbatia kabati na kulisogeza yote ile njaa tu. No real man wants his ass on cameras all the time.
Mwanaume unaambiwa " piga keleleee weweee " ole wako unyamaze sasa[emoji848][emoji848]

Ila yule jamaa hana jinsi, afu sometimes anaona jau ila anakausha tuu
 
Ile aina ya maisha ina expire date, watoto wanakua there will be a time a man will be elligible to provide in extra. Sasa wewe kila kitu kiko centred kwa mwanamke, miaka yote bar, cosmetics, insurance,fumigation,kitchen n.k

Ipo siku mwanamke ataanza kudai mchango wako kwake hata akupendeje. Ile lust ikiisha the reality hits so badly. Hapo ndio utasimangwa mpaka ujione nnya. Jamaa ameshindwa hata kuomba IST afanye uber
Hebu niambie[emoji848]
 
Mwanaume unaambiwa " piga keleleee weweee " ole wako unyamaze sasa[emoji848][emoji848]

Ila yule jamaa hana jinsi, afu sometimes anaona jau ila anakausha tuu
Hahahah noma kichizi, hio piga kelele tupigishane kitandani sio mbele ya makamera🤣🤣🤣!
Anyamaze ili iweje, anacheza ngoma za tajiri
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Ni huyu?
Screenshot_20201220-074433_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom