Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Yes ni mjasiriamali mzuri tu, ila kuhusu uzuri mimi namuonaga wa kawaida hasa na zile nywele zake anazopenda kuzitia karikiti naona kawaida. Uwa napenda kwenda kugonga kitimoto na ugali pale mghahawani kwake. Ni mtu poa charming, na mara kadhaa tushagonga kitimoto na bills akazicover yeye. Msingi ni mume wake sijui mzazi mwenzie aliyeko cello kwa msala wa mambo ya fedha na sema tofauti na wanawake wengine kile alichaocha jamaa uraiani kakitumia vizuri kukiendeleza sana.
 
Huyo Dem mbona ana ubonge na kitambi kikubwa huo uzuri wake mbona sioni.

Huwa namuona Mara kwa Mara hapo mikocheni Barabara ya kwenda hospital ya Kairuki. Uikutana nae Hana mvuto kivile na Wala huwezi kugeuka Kama ukikutana na zile totozi za 5N au Beach Kidimbwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…