Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hapa anayeongelewa kupungua nindada wa rest. Rest mwenyewe naona dawa za kupunguza unene zimemgomea [emoji125][emoji125] anataka kulingana na tank la Lita 2000[emoji125][emoji125][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]loh umenichekesha sana
 
Nampenda sana huyo dada...nilianza kumfuatilia kwa ile account yake ya mwanae wa pili growing hollie ,resty cosmetics badae resty kitchen

Sijui kuhusu maisha yake halisi,lakini ninayoyaona insta yananiinspire sana...ni ile aina ya mwanamke anajua kutafuta na kutumia
 

Attachments

  • resty_cosmetics_20210210_172244_5.jpg
    resty_cosmetics_20210210_172244_5.jpg
    252.2 KB · Views: 20
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

Rest kula maisha, kula maisha na Kwakuwa umeokoka na kumpa Yesu maisha yako, endelea kuwa ushuhuda kila uendapo, maisha ni mafupi SANA, mchezee mumeo, mpe kila kitu atakacho mwilini mwako isipokuwa sehemu iliyokatazwa ki-biblia.
 
Rest kula maisha, kula maisha na Kwakuwa umeokoka na kumpa Yesu maisha yako, endelea kuwa ushuhuda kila uendapo, maisha ni mafupi SANA, mchezee mumeo, mpe kila kitu atakacho mwilini mwako isipokuwa sehemu iliyokatazwa ki-biblia.
Yasije yakajitokeza yale ya kibubu challenge tu mara mtu kashikwa na plummer 😁 gram kadha wa kadha. Maana hata dada yule alikuwa mlokole bila shaka na mtoa misaada sana.
 
Back
Top Bottom