Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

Biashara matangazo
 
Kama unamjua Shkuba ndio chanzo cha hizo bata unazoziona.
Usione watu matajiri dunia ina mengi hii ila shkuba inabidi aje aandike kitabu aisee ntakuwa wa kwanza kununua
 
Tuelezee kidogo kuhusu Shkuba mkuu
Story yake ni ndefu kidogo lakini ni mmoja ya watanzania walioisumbua sana serikali ya marekani jamaa alikuwa anaishi kama yupo kwenye movie

Kesho ntakuelezea vizuri ila kaa ukijua alikuwa Gwiji wa madawa ya kulevya Sasahiv anatumikia kifungo marekani huko kabla hajakamatwa ndio alikuwa anatembea na Resty bura na kazaa nae Inasemekana kamuachia mali nyingi sana
 
Na hata hiyo nyumba zilipo ofisi za wasafi ni mali ya Shkuba.
Alizaa na Shkuba mtoto wa kike na ndo mrithi wa mali za baba yake mama mtu ni mlinzi wa mali tu...OVA
 
Tunasubiri story mkuu, hivi shkuba alipigwa mvua ngapi??? Lakini rest hakuzaa nae alizaa na mwingine yule mwenye nyumba ya wasafi na aliemfukuza pale rest park

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Na hata hiyo nyumba zilipo ofisi za wasafi ni mali ya Shkuba.
Alizaa na Shkuba mtoto wa kike na ndo mrithi wa mali za baba yake mama mtu ni mlinzi wa mali tu...OVA
Hapana shkuba sio mwenye Ile nyumba na Wala hajazaa na rest, aliezaa nae walitibuana live, alikuwa jela za huku Huku kwa uhujumu uchumi nafkiri

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Nikija kuwa Rais, ma-MC wote nawakusanya na kuwapeleka kulima kwa Lazima kwenye mapori tengefu ya serikali yaliozagaa kila kona na kukaa kibwererebwerere nchini. Yani haya mi- maMC ni unproductive. Ni kuwatumikisha tu kwenye kilimo huko porini ili taifa lipate chakula cha kutosha.
Swadakta wafanye kazi za kinabii sio ujanja ujanja .Tena uwape majembe yenye mipini mifupi na butu.Kusoma kwangu kote bible sijaona nabii alikuwa MC ila wakulima na wafugaji wapo .Wakalime.
 
Story yake ni ndefu kidogo lakini ni mmoja ya watanzania walioisumbua sana serikali ya marekani jamaa alikuwa anaishi kama yupo kwenye movie

Kesho ntakuelezea vizuri ila kaa ukijua alikuwa Gwiji wa madawa ya kulevya Sasahiv anatumikia kifungo marekani huko kabla hajakamatwa ndio alikuwa anatembea na Resty bura na kazaa nae Inasemekana kamuachia mali nyingi sana
Nili sikia story za mwamba, Ali kuwa ni balaa
 
Mc ni biashara ina hela sana. Kama ukiwa na wateja.. mc kuongea masaa matatu tu kwenye harusi anakunja zake milioni easy tu. Katika mwezi mmoja ni rahisi sana kuingiza milion 5 mpaka 10 kwenye u mc tu.

Je ni biashara gani yenye hicho kipato?

Ndio maana siku hizi ma banker, ma lecture wa vyuo, watu wengi wenye CPA wamejiingiza kwenye biashara ya U MC wa masherehe
Ngoja wawe wengi ili bei zishuke
 
Back
Top Bottom