Result Sports waitaja Simba SC kuwa ya 151 duniani, kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii

Result Sports waitaja Simba SC kuwa ya 151 duniani, kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwa mujibu wa takwimu ambazo zimetolewa na mtandao wa Result Sports ambao unajihusisha na utoaji takwimu za wanamichezo, klabu, ligi na mashirikisho, umeitaja klabu ya Simba SC kuwa ya 151 duniani kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii ikiongozwa na Barcelona ya Hispania na ikishika nafasi ya 8 Afrika ikiongozwa na klabu ya Al Ahly ya Misri na namba1 kwa Afrika Mashariki na Kati.
tapatalk_1579806553793.jpeg
FB_IMG_1579805739299.jpeg
 
Kwa mujibu wa takwimu ambazo zimetolewa na mtandao wa Result Sports ambao unajihusisha na utoaji takwimu za wanamichezo, klabu, ligi na mashirikisho, umeitaja klabu ya Simba SC kuwa ya 151 duniani kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii ikiongozwa na Barcelona ya Hispania na ikishika nafasi ya 8 Afrika ikiongozwa na klabu ya Al Ahly ya Misri na namba1 kwa Afrika Mashariki na Kati.View attachment 1332419View attachment 1332422
Jamani acheni porojo za kwenye mitandao. Nyie ndio mnasabaisha hata wachezaji wajione wako zaidi ya Barcelona kumbe safari bado. Timu yenyewe hiyo mnayoisifu kila kukicha mara ina washabiki mara inaweza kuifunga Real Madrid mara ni ya 2 duniani kwa ubora wakati inafungwa na vitimu visivyojulikana.
 
Unchobisha ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom